Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, June 21, 2015

AISEE HII SASA NI AIBU MAANA BUSARA ISHAPANDA BEI KIASI WANAIGERIA WAWATUKANE HIVI,KWANINI MNAENDA KUTUKANA KWENYE PAGE YA DAVIDO !!!


THERE COMES A TIME AS A NATION YOU NEED TO LOOK INTO YOURSELVES AND SEE WHAT YOU HAVE BECOME...
HII CHUKI HAIJAANZA LEO WALA JUZI NI KWAMBA SASA MMEPATA SABABU TUU KWANI NDIO SIKATAI KUWA ZARI ALIANDIKA UJUMBE LABDA WENGINE WALIUSOMA KAMA DHARAU AU ILIKUWA FRUSTRATION FROM HER SIDE AKAITOA VIBAYA,,
SIKATAI KUWA LABDA KUNA VITU DIAMOND ANAFANYA HAVIKUPENDEZI ILA JE WEWE VYOTE UNAVYOVIFANYA JE HUWA VINAMPENDEZA KILA MTU,JIULIZE
IMEFIKA MUDA KAMA TAIFA KUKAA NA KUJITIZAMA ACTION ZENU MNAZOZIFANYA MAANA MSIDHANI KUMTUKANA DIAMOND KUWA MNAMKOMOA DIAMOND,,
IMEFIKIA SEHEMU WEWE NA WATANZANIA WOTE MNAWAKILISHA TANZANIA SO UKISEMA UMSEME MAIMUNA AU KUMTUKANA MAIMUNA IN ACTUAL FACT UNAJITUKANA MWENYEWE NA NCHI YAKO,,
KUWENI NA MAWAZO AMBAYO HAYALAST DAKIKA 2 BALI MIAKA 200,,
WATU WANAOENDA KUTUKANA KWENYE PAGE YA DAVIDO MNATAKA KUGAIN NINI MAPAKA TUNAKUJA TUKANWA WOTEEE KAMA NCHI KAMA TAIFA NA DHARAU JUU WAKATI MASKINI WENGINE HATA ACCOUNT ZA INSTA HAWANA LET ALONE HAWAYAJUI YANAYOENDELEA MITANDAONI,
,
KUNA WATU WANA SHUGHULI NA KAZI ZAO NA HESHIMA ZAO MNAFANYA WAONEKANE OVYO MASKINI SIMPLY BECAUSE UNAPOKWENDA KULE NA KUTUKANA SAHAU KUWA WEWE NI MAIMUNA BALI WEWE NI MTANZANIA,,KUMBUKA HILO KUWA WEWE NI MTANZANIA NO MATTER HOW YOU FEEL ABOUT THAT THE FACT WILL STILL REMAINS KUWA WEWE NI MTANZANIA PERIOD,,
HAKUNA ALIYELAZIMISHWA AMPIGIE KURA NANI,,,
FANYA KILE MOYO WAKO UTAPENDA ILA KUWA NA MPAKA
KUNA VITU UKIFANYA USIDHAN UNAMKOMESHA FLANI BALI HATA WEWE UNAJIKUTA IMEBACK FIRE ON YOU,,
TUJARIBUNI KUWA TUNAFIKIRIA THE BIGGER PICTURE NA SIO KUFUKIRIA HAPA KWA HAPA TUU,,
HIVI TUNAONWAJE MACHONI KWA HAWA WATU KAMA SISI WENYEWE HATUPENDANI,,JIULIZE
IMEFIKA MDA MUANZE KUJIHESHIM AS A CITIZEN NA KUHESHIM TAIFA LENU,,
IMEFIKA MDA TUWE NA BUSARA NA UZALENDO IN SUDDEN SITUATIONS,,
IMEFIKA MDA TUTUMIE HII MITANDAO FOR GROWTH,IMPROVEMENT,DEVELOPMENT,KUELIMISHANA BUT MOST IMPORTANLTY KUPENDANA!!!!

2 comments:

Anonymous said...

kumbe kaka january ameona mbaliiiiii bora tufungiwe kwakweli taifa linachuki binafsi sijapata kuona mfano saa nuru siku mungu atuepushe ikitokea vita kweli si watamalizana mijitu haipendi maendeleo wakiona umewazidi kimaisha basi watakuandama kwa chuki na maneno km hayo wamemtafuta kwenye mablogu mwishi wakaona wajiabishe kwenye insta ya wanaigeria mpk inashangaza badala kumpigia kura dai au kuachana nae km humpendi kwann unapoteza mda kumtukana?inamanisha maendelea yake yanakuchoma hadi huwezi kujikaza mfyuuu wajinga hawa dai katutoa mbali angalau tunatambulika kwenye musik industry east africa na nje kwenye filamu kanumba rip katuachia pengo na mziki pia tunachemka kiasi hiki wao wamtukana tena kwenye page ya davidi kweli niakili wafungiwe bana nchi isio na kiu ya maendeleo isiopenda mafanikio wao kutwa majungu umbea kutukana mitandaoni hawana akili za maendeleo ujasiri mari au elimu bora wacha serikali wale mpk mifupa mamaeee

Anonymous said...

Hata kama watu hawampendi Diamond na hawataki kumpigia kura, wakienda kumtukana huyo Davido ndio itabadilisha msimamo wa watu? Wamezoea kumtukana Wema na wengine kama Ommy Dimpoz kisa Diamond sasa wamekutana na kiboko yao.

Waende wakasherehekee Saba Saba, Mei mosi ishapita, you shall reap what you say, kwani lazima watu wampigie kura Diamond? Mbona husikii kelele kwa Vannessa?