My one week Experience in China (So far..)
POLITICAL-ECONOMY:
-Hakuna kijana yoyote hadi sasa ninayejaribu kuzungumza naye anazungumza siasa au yupo interested na hilo eneo
Nadhani wana mengi ya kufanya kwenye ile list ya vipaumbele,siasa inaweza kuwa ni muhimu ila inakuja mwishoni
Nadhani wana mengi ya kufanya kwenye ile list ya vipaumbele,siasa inaweza kuwa ni muhimu ila inakuja mwishoni
- Huduma za Afya,Elimu,Nishati zote ni za serikali,sekta binafsi imeachiwa usafiri tu na biashara
-Hata uwe tajiri kiasi gani,ardhi unakodisha,hakuna lease ya miaka 99 kama kwetu,nyumba unajengewa unanunua kulingana na pesa yako
- Afrika au Tanzania kwa Mchina ni kama Ulaya kwa Mtanzania,wenye uwezo na nafasi wanakimbilia Africa either kuajiriwa au kufanya biashara,kuajiriwa hapa unalipwa kiasi kidogo kuliko sehemu nyingi Tanzania,sema tofauti ni kuwa huduma za jamii zipo chini kigharama ila wanaiota Africa kama muafrika anavyoiota Ulaya
EDUCATION
-Kusoma lugha yao miaka miwili ni sheria sio ombi
Hata mitihani inakuja kwa lugha yao,jitie kiburi uone maruwe ruwe kwenye paper
Hata mitihani inakuja kwa lugha yao,jitie kiburi uone maruwe ruwe kwenye paper
-Hakuna tests,kuna final exams tu inabeba 60% na attendance 40%
- Kama unahisi haupo tayari kufanya paper unaacha (give up) hadi next time
Ila..kabla hujagraduate lazima ufanye hiyo mitihani
So ni kichwa chako,ukiamua kuacha mitihani hata 10 uifanye mwishoni kama kiporo
Ila..kabla hujagraduate lazima ufanye hiyo mitihani
So ni kichwa chako,ukiamua kuacha mitihani hata 10 uifanye mwishoni kama kiporo
-Pamoja na lugha kuwa challenge ila kufeli ni habari ngeni hata kwa wageni wasioijua lugha
-Facilities; kila chuo lazima kimpe mwanafunzi kitanda,room,godoro,mashuka,mito,jiko,machine ya kufulia na heating system ndani ya chumba na bafu
Yote hayo kwa 76,000/= za kitanzania kwa mwezi
Yote hayo kwa 76,000/= za kitanzania kwa mwezi
SOCIAL LIFE
-Chinese are the most loyal and romantic human beings
Ukitembea na mchumba wako usipomshika mkono lazima uulizwe unaona aibu kuwa nami,hata class hata bank lazima mkae pamoja kushikana shikana
Divorce ni neno linaloishi kwenye dictionary tu,in real life wakianza uchumba ni hadi ndoa na kifo

-Muafrika ukianza date Mchina lazima umpe your room keys
Unaweza toka class ukakuta msosi kaweka mezani kapika au kanunua
Kafua na kapasi tayari na usafi kafanya
Unaweza toka class ukakuta msosi kaweka mezani kapika au kanunua
Kafua na kapasi tayari na usafi kafanya
-Kutokana na tabia zetu za kugonga gonga ovyo,miaka mitatu iliyopita wamepitisha sheria
Ukivunja moyo wa mchina au ukiachana naye lazima umlipe kila kitu alichokununulia,chakula,nguo,outings,muda wake..
Mamlaka inakokotoa na kukupa hesabu,ni sheria sio utani wala ombi
Ukivunja moyo wa mchina au ukiachana naye lazima umlipe kila kitu alichokununulia,chakula,nguo,outings,muda wake..
Mamlaka inakokotoa na kukupa hesabu,ni sheria sio utani wala ombi
-Michezo na mazoezi ndo chakula cha taifa,kuanzia saa kumi ya asubuhi unasumbuliwa na kelele za watu uwanjani mpira,basketball na mambo kama hayo
-Misosi yao ya kijinga,kila kitu wanaweka sukari,wali,sausage,kuku
Bora kununua mbichi na kupika mwenyewe
Bora kununua mbichi na kupika mwenyewe
-Wana kiburi cha kugoma kujifunza kiingereza,so kila sehemu hadi international banks ni kichina tu,lazima utie adabu
-They are peaceful and beautiful,acha hao wenye vimacho huko,kuna pisi za ukweli sana
Nyongeza;
Nimepata rafiki anaitwa John,ni mkristu mchina
Anasema ndoto zake ni kuishi na kufanya kazi South Africa au Zimbabwe
Anasoma Mechanical engineering ndo anagraduate,ana miaka 21 tu
Anachukua degree mbili kwa mpigo
Material Management na Mechanical engineering
So anapata gamba mbili kwa mkupuo
Masters kasema atasomea Australia au China

Nilimuuliza unataka kuwa nani,akasema "nataka kuja kuwa boss msaidizi"
Why not a boss?
Akasema boss inabidi uchukue maamuzi magumu sana na katili ili mambo yaende na i don't wanna hurt people's feelings 😂😂😂
Akasema boss inabidi uchukue maamuzi magumu sana na katili ili mambo yaende na i don't wanna hurt people's feelings 😂😂😂
Anyways,hiyo ni wiki ya kwanza in summary,ila ningesema niandike kila kitu hapa
Watu wanajielewa sana
Watu wanajielewa sana
Hata Waafrika wa hapa ni tofauti na waafrika niliosoma nao London,wanajielewa sijui ni mazingira au nini ila akili zimesimama sana...
Hayo tu kwa leo,
ZINGATIA;
AFRIKA ndo Ulaya ya Mchina..
AFRIKA ndo Ulaya ya Mchina..
2 comments:
Hahahahahah!!!!
Kwa mpango huo Lazima akili zisimame, kwanza sisi Watanzania baazi utakuta mtu ajjui nini anataka ktk maisha yake.
Kama ulivyo sema hapo juu kupenda kugonga gonga ovyo au kugongwa, Hilo ndio kwetu tunaona ujanja. Sio kujipanga kwa future.
Hakuna uko kugonga ovyo Leo Mwajuma kesho Soph mara Jeny hahahahah watakunyonga wakijuwa unawatumia.
Nuru alishazungumzia utakuta mtu anaishi nnje katika nchi fulani kwa muda mlefu ata miaka 5-10, na anashindwa kuongea lugha ya nchi anayo ishi.... Kwa mfano wa mepita mahala wamekukuta labda unaongea lugha ya iyo nchi basi watafinyana, huyu nae kujifanya
Mjerumani au mchina, Waswahili tunashida sana, sasa wewe unaishi ktk nchi ya watu utakuta na Passport ya hiyo nchi unayo lakini kusoma lugha utaki.
Mdau wako AM
BORA UMEONGEA WEWE MAANA TUNA SAFARI NDEFU SANA KUENDELEA,,NASHKURU!!!
Post a Comment