WE HAD TO RUSH MOMMY TO THE AIRPORT JAMANI KAMA KUNA MTU ANA KEEP TIME IT!S MY MOTHER HAHAHAH MWANAMKE HUYU NI MZUNGU TO THE CORE WHEN IT COMES TO BEING ONTIME KAMA ANASAFIRI MTAAMSHWA MASAA KABLA YAANI HAHAHAH KAMA HAPA WE WERE THREE HOURS PRIOR TO HER TRIP TULIKAA AIRPORT NA KUPIGA STORI MPAKA TIME ILIVYOFIKA THAT SHE HAD TO GO INSIDE,,
HAKUNA WATU WANABOA KAMA WALE WANAOKAA NJE YA AIRPORT KABLA HUJAINGIA NA MASWALI YAO YA KIJINGA MIMI HUWA NAWAPA TU MY PASSPORT NA TICKET NA KUKAA KIMYA AND SAY NOTHING MAANA CHAKUSHANGAZA HAWAWAULIZAGI WAZUNGU MASWALI YA KIJINGA ILA NGOZI YAO,,MBEGELEZZ
MY SWEET BRODAAAAAAA WAS ALSO LEAVING EARLY MORNING SO WE SPENT THE NIGHT WITH HIM AND LA FAMILIA AND SAID OUR GOODBYEES,,
SEE YOU IN ULAYA.COM!!!
DRESS;ZARA
BAG;DANISH BRAND
SHOES:REEBOK CLASSICS
HAT:HATT-BAREN
5 comments:
Nadhani mama NI wa mama wazamani mama yangu haishi ulaya Ila humdanganyi eti achelewe ila raha anapunguza stress ZA duniani . Kuhusu maswali sipendii ila wazungu wachache wabeba Sembe kwa afrika wakati mwingine naelewa . Tukiangalia kipindi Mimi NA mtanzania tunalia watu wanavyoteseka NA madawa . Wala usichukie uaminifu wa mtanzania imepotezwa na hela ona H.A amefungwa mara ya pili NA anatoka NA mtanzania aishie huko majuu . Watanzania tunatisha NA kuharibu jina
Zamani kulikuwa hakuna maswali Mie wakati nakuja europe kwa mara ya kwanza nilibeba mboga za majani na madilodiko kibao ila kwa sasa utasumbuliwa mpk ujute yote NI
Sembe nyingi mnooo wacha tu waulizeee
basi tumeona guu. heheheheh
Jamani hakuna kitu kinaniumiza roho kama kusema goodbye kwa Mama. Yani Aisee huwa nalia mpaka macho yanakuwa red.
Hakuna bana kama mama, Mimi huwa nasema labda kwa kuwa ni last born, lakini hapana penzi la mama hakuna Replacement
Kigauni haswaaaa ndio mahala pake kwa hizo long leg.
Mdau AM
Nani kama MAMA,,,ahsante
Post a Comment