Genuine Nordic Vodka
Sunday, May 24, 2015
YOU CAN NEVER EDIT THE TRUTH BUT YOU CAN CREATE LIES!!!
Q-BOY JUZI KWENYE TUZO ZA WATU,,
FROM THE WEBSITE,,
HILI KOSA NI LA Q BOY MAANA NDIO HUWA ANAMVALISHA DIAMOND SO HE WAS SUPPOSE TO DOUBLE CHEK THIS BEFORE,,
YEYE NI STYLIST AS FAR AS I KNOW SO ALISHINDWA NINI KUWATAFUTA WENYE HII WEBSITE NA KUWAOMBA WAMVALISHE DIAMOND AM SURE WANGEFURAHI NA WANGEKUWA WAMEPATA PROMO YA KUTOSHA YAANI NI ISSUE NDOGO SANA KUWATAFUTA AND HATA KAMA INGEBIDI ANUNUE SOME ITEMS ILA WANGEONA KUWA NI MSANII MKUBWA JAPO KUWA NI BRAND YA KIMAREKANI AM SURE WANGEELEWANA TUU OR JUST BUY THE STUFF FOR D TO WEAR SIMPLE AS THAT..
LAKINI KUKOPY MPAKA LOGO YAKE,,HELL NO!!!
ILA SISHANGAI MAANA HII TABIA YA KUCOPY NA KUPASTE TANZANIA NI COMMON SANA BASI TU HUWA WATU HAWATILII MAANANI NA KUACHA SHERIA IFANYE KAZI YAKE,,
BAADA YA MARTIN KUFANYA ZILE KWACHU KWACHU WATU KIBAO WALIANZA FANYA HIVYO HIVYO NA KAMA TUTAONGELEA ORIGINALITY YA HAYO MASHATI YAPO WEST AFRICA MDA MNOOOO,,
KUNA SIKU KAKA MMOJA ALIKUTA WANAKWAYA WAMESHOOT VIDEO WAMEVAA DESIGN YA MASHATI YAKE AKALAMIKA SANA FACEBOOK BUT NIKAMWAMBIA UTAPIGA MAKELELE HUMU FOR NOTHING TAKE IT TO COURT HIZI COMMENTS ZITAKUPELEKA WAPI,,
TUJE KWENYE EVENTS TUKAMUONA CAROL NDOSI KAWAPELEKA MAHAKAMANI ANYBODY ATAKAYEJARIBU KUIBA IDEA YA NYAMA CHOMA FESTIVAL MAANA WENGI WALIIBUKA NA KUFANYA HIVYO,,
UNAWEZA FANYA AN EVENT ILA JUA UKISHAFANYA KUWA NA RIGHTS YA HICHO KITU ILI KUWABANA MA COPYCATS,,
NISHAONA WATU WNAMCOPY EVE COLLECTIONS MARA KIBAO BUT HEY WHAT ELSE IS NEW,,
HAKUNA UBAYA WA KUWA INSPIRED BY SOMETHING,SOMEONE OR SOMEBODY ILA TOA CREDITS NA HILO NDIO LIUGONJWA MNALO KUMPA MTU SIFA YAKE AU HAKI YAKE UNATAKA KUCHUKUA SIFA ZOTE WEWE SASA MWISHO WA SIKU UNAPATA AIBU TUUU MAANA MWISHO WA MWIZI NI AIBU TUU AND NOTHING ELSE.
WAKO MA GHOST WRITERS KIBAO(ndivyo wanavyoitwa in the industry) WAMEANDIKA NYIMBO ZA WASANII TENA WAKUBWA LAKINI MTU KAKAMAA OHH NIMETUNGA RIHANAA NA MICHAEL JACKSON WALIKUWA WAKIANDIKIWA SEMBUSE WEWE???
SOLANGE MDOGO WAKE BEYONCE KAMUANDIKIA NYIMBO KIBAO DADA YAKE NA BEYONCE HUNUNUA NYIMBO NA KUZIMILIKI ILA KUANDIKA HAJUI ILA HIZO NI SIRI ZA INDUSTRY,,UZURI WA WENZETU WANADEAL KISHERIA NA KUMALIZANA KIFEDHA,,
MAJUZI TUU PHARELL WILLIAMS NA ROBIN THICKE IMEBIDI WAILIPE FAMILIA YA MAREHEM MARVIN GAYE MAMILLIONS KWA KUIBA NA KUSAMPLE NYIMBO YA BLURRY LINES,,
HIVI MNAJUA MA RAPPERS WANGAPI WANAANDIKIWA MISTARI HUKO NJE,,??
KUNA WASANII UNDERGROUND WANAIBIWA KAZI ZAO NA WASANII WAKUBWA ZINATOLEWA ILA WAKIPIGA MAKELELE WADAU MNAWASHUPALIA OHH WIVU UNADHAN WEWE MTU AKIIINGIA NYUMBANI KWAKO NA KUKUIBIA HAUTAPIGA MAKELELE KAMA CHIZI AU AKIWA SUPASTAA NDIO UTAKAA KIMYA???JIULIZE HALAFU JIJIBU
WE NEED TO START AKNOWLEDGING THE ORIGINALITY AND AUTHENTICITY YA UBUNIFU LAASIVYO TUTABAKI KUWA TAIFA AMBALO HALIJUWI KUBUNI BALI KUCOPY NA KUPASTE,,NIMEMALIZA.COM!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Yani umeongea yooote Nuru, wabongo kwa ujinga wanaona Diamond anaonewa wivu na huyo designer eti designer anatafuta kick.
Yani Mungu alilinde hili taifa, mana ni km unadeal na watoto kindergartens.
Badala ya kumpa Diamond ideas na kumwambia alichofanya ni wrong coz yy ni public figure. Anatakiwa kuwa mwangalifu badala yake wanamjaza ujinga
Aisee, yani sisi Wa Tanzania jamani kwa ubishi, yani ata kama kitu ujui Lazima umwage pumba zako......
Yaleyale tulishapima DNA. LooooL
Watu wakimshauri Dai kuwa team yako unayo fanya nayo kazi hawafai,mnasema wivu. Haya sasa!!!!!
yaani wabongo bana ukisema kitu cha kweli kwa mtu wanaye muabudu du ni boge la kosa aise
Oooh Nuru, utakujatukanwa na team Mei Mosi kwa mabango huku ohoo. Wabongo walivyo nutcase wameshaenda mpaka kwenye hiyo page ya huyo designer kumtukana na kutukanana mpaka kaitoa post aliyoandika.
Tena wengine wanajisifia kabisa eti mbona wananunua mabegi fake ya Michael Kors na mwenyewe hapigi kelele. Akili za mende chooni ukute hata huyo designer na team yake hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania, na akijua tu kuna fake products hapa zenye label yake wanaweza kuja kuziteketeza zote kwa moto. Yes ilishatokea China big designer walikwenda kuconfisticate fake products zilizotumia logo yao wakazichoma moto.
Kingine ni huyo Diamond mwenyewe anaona sifa, anashindwa kuwaambia fans wake kuwa hili ni kosa la stylist wangu msijitie wajuaji acheni tu nimuombe msamaha jamaa lakini ndio kwanza! Aah watu wengine ni lost case kwa kweli.
Kwa vile kafanya Diamond na huyo designer wake, angefanya mtu mwingine moto ungewaka. Mnakumbuka gauni la Sheria Ngowi versus vis Vera Wang/Jackie?
Au ndio ingekuwa imemtokea Wema weee hata magazeti ya udaku yangeandika yakatoa matoleo wiki mfululizo.
Diamond anadanganya kila siku mara sink la Gold wakati ni rangi na mengineyo mengi, watu wanafurahia uwongo wake.
Mie nashauri akumbuke hadithi ya mchunga kondoo muongo na mbwa mwitu labda itamfunza kitu.
Post a Comment