Mkorogo wangu unawahusu nini?- Linah Sanga
Msanii wa bongo fleva Linah Sanga amefunguka na kuweka wazi hisia zake za wazi juu ya watu ambao wanaomsema vibaya na kumkejeli kuwa huenda ameanza kujichubua.
"Jamanii nimechoka Na kufuru zenu, hivi naomba niulize ufupi wangu, kukomaa kwangu, mkorogo wangu vinawahusu nini? Ni naomba mfatilie kazi zangu tu vingine ni vitu vya kawaida kila binadamu kuumbiwa kasoro zake! Hivi wale ambao hawana mikono na miguu na wao walie vipi kwa Mungu? Namshukuru hivi nilivyo. Mbona mnapenda kutoa hukumu kama nyie ndiyo Israeli?! Ifike kipindi tukumbuke kila mtu anamaisha yake! Naona mnaniandamana sana na maisha yangu." amefunguka Linah
CHA KUCHEKESHA HAO HAO WANAOWATUKANA NDIO KUTWA WANASHINDA KWENYE MAPAGE YENU NA KUFUATILIA ISNT THAT JIBU ENOUGH ACHENI KUWAPAISHA NDIO WANACHOTAKA!!!
3 comments:
Big up Linah...
i love vidoti vya kwenye magoti
Just live your life my dear, maisha yako ni yako na hakuna anayepaswa kuyaingilia. Wasikusumbue wala kukuingilia, fanya kile unachoona ni sahihi kwako. Hao wanaosema wewe mfupi, umekomaa wabaki na uzuri ambao wanaona wanao maana wewe uzuri wako pia unaujua mwenyewe na wanaokufahamu kwa karibu. Mungu akutie nguvu my dear.
Post a Comment