Genuine Nordic Vodka
Friday, May 1, 2015
WEMA SEPETU IS OFFICIALLY A MRS TO MR X!!!!
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa 'juju' na mumewe angeshindwa kumuoa.
‘’Mume wangu ni Mtanzania na siyo maarufu na ndoa yangu ilihudhuliwa na ndugu zangu wachache na ndugu wa mume wangu sikutaka watu wengi niliogopa kupigwa juju na mume wangu asingenioa,’’alisema Wema.
kwenye kipindi cha you heard TUMEMSKIA Wema Sepetu akisema kuwa alifunga ndoa na mr x bomani KWAVILE MR X NI MKRISTO na wakaenda Double Tree after na MR X wil remain MR X until aamue kujulikana,ALL THE BEST TO YOU BOTH!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
anything for headlines....buncha bs!!! lov u tho
Mungu atakupa kila la kheri na akujaalie ufikie utakalo mdogo wang . Mola akujaalie kila la kheri.
Kaolewa kweli na si jana wala juzi, kama mtu unafuatilia matukio Wema alilipiwa mahari kwao Singida kwa wajomba zake alivyokwendaga kwenye harusi ya binamu yake.
Post a Comment