Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, May 23, 2015

TUZO ZA WATU 2015 THE REDCARPET!!!!

 OHH YES SHE DID THAAAAAAAAT,ZAMARADI MKETEMA!!!

 JACQUELINE NTUYABALIWE MENGI,,


FROM LEFT NANCY KAMEJA,JACQUELINE MENGI AND NANCY SUMARI,,
 JACQUELINE WOLPER,,STUNNINGGGGGGGGGG!!!


 WEMA SEPETU LOOKED AMAZING IN HER CREATION BY KIKI!S,,,
 FAIZA ALLY,,

 PENNY HOSTED THE EVENT SHE WORE 4 DIFFERENT OUTFITS DURING THE NIGHT,,NASREEN KAREEM WENT SHEAR,,
 SINGER RUBBY IN THE MIDDLE,,
HUYU DADA WA KULIA KAPENDEZA SANAAAAAAAA,,
KULIA MDOGO WAKE NA ALIKIBA WITH REHEMA,,
 HER DRESS UP-CLOSE,,
 MY SARAH YOU LOOKED GREAT NA KATUMBO CHAKO,,,
MARSHA YOU NEVER DISSAPOINT,,
 RITA PAULSEN LOOKED OK TO ME,,
THIS PARTICULAR COLOUR ON HER DID NOT DO HER JUSTICE
 AND NEXT TIME I SUGGEST THAT YOU LEARN HOW TO PRONOUNCE THE NAME OF THE DESIGNER ULIYEMVAA,NASEMA NAWE DIMPOZ,,
JIHAN AND OMMY DIMPOZ,,

MR AND MRS MURUNGI,,,
CUTE,,


 KWAVILE NIMEIONA SHOW LIVE ON THE NET NASKITIKA SINA PICHA YA JIDE MUONE GAUNI LAKE NYUMA NA MBELE KWA UZURI,,
ALIPENDEZA SANA NA HER HAIR AND MAKE UP,FLAWLESS!!!
 MILLARD AYO LOOKED LIKE A MILLION BUCKS
HE WORE SHERIA NGOWI AND MARTIN KADINDA SHOES,,,

 SALIM KIKEKE CAME ALL THE WAY FROM ENGLAND,,ALIPENDEZA SANA
 MARTIN KADINDA,,,,ALICHOVAA SHINGONI,,DETAILS PEOPLE
 PERFECT CRISPIN KIJANA WA CLOUDS MTANASHATI,,HE DID THAT!!!!
 FAHAD HANDSOME BOY,,HE DID THAT!!1
 THIS GUY KEPT IT SIMPLE AND KNIT,,,SMART!!!

HERRY KEPT IT SIMPLE WITH A JEANS AND A BLAZER,,,

 VINCENT RAY KIGOSI,,,


 DJARO ARUNGU TOOK HOME TWO AWARDS,,
JAMAA ALINIFURAHISHA HATUVUMI LAKINI TUPOOOOOOO FROM TBC RADIO LOL!!
 THE MAN AND THE WOMAN BEHIND TUZO ZA WATU,,

THE WINNERS ONSTAGE,,,


THE USHER!S DRESSES LOOKED BETTER THAN THE ONES AT THE WHITE PARTY ALLY REMTULLAH GOOD JOB AND THE GIRLS LOOKED HOTTTTTT!!
SUZANA MUNGY,,
 QUEEN DARLENE,,
 PART OF WEUSI AND IT IS MY FIRST TIME SKUPENDA KABISA G-NAKO ALIVYOVAA KAKA HUYU ANA SWAGGA ZA HATARI,G NI WA KULIA!!!
 NAANZA KUMTETEA AY MAANA NLIONA COVERAGE YA REDCARPET LIVE NA UNAMUONA KABISA ANASEMA NIMETOKA SHUGHULI ZANGU YAANI HATA SIJATUPIA WITH THAT BEING SAID WEWE NI MSANII MKUBWA NA HII EVENT NI KUBWA NI BORA UNGECHELEWA KDG LAKINI UNGEVAA KITU KINGINE,,
WHEN YOU ARE A BRAND YOU HAVE TO LOOK LIKE ONE,,LAP YOUUUU!!!
 WA KUSHOTO Q BOI NDIO HUWA ANAMPANGIA DIAMOND MAVAZI LAKINI HILI SIO VAZI LA YEYE KUVAA AT THIS EVENT HATA KAMA YEYE NI STYLIST AND HAS TO LOOK A BIT DIFFERENT BUT HE WAS TOO MUCH,,
WA KULIA MKUBWA FELLA SIJUI HATA NISEME NINI,,,THERE IS NO HOPE!!1
 NURU;FIX IT GOD
MUNGU;I CAN!T,,

BEN POL,JOHN MAROY NA ,,,,,,
 SINGER ASIA IN ORANGE,,
NADHANI NI SHABIKI WA TEAM YA TAIFA YA HOLLAND,,HAHAHHA AHSANTE L!!!
 BABY MADAHA WAS A HOT MESS WHICH MADE ME REMEMBER,,
WANASEMA NIRUDI IGUNGA,MAISHA YASHANISHINDA
NAKOMAA NA JIJI LA DAR,,I CAN!T
PICHA INAJIELEZA YENYEWE,,
KWA KAZI HII I KNOW MY THING,,SEE YOU NEXT YEAR TUZO ZA WATU!!

ALL IN ALL HONGERENI TUZO ZA WATU KWA SHOW NZURI,,
MLIANDAA VIZURI NA KILA KITU KILIENDA VIZURI,,
PENNY KAHOST VIZURI NA SIDE KICK WAKE WAS ALOT OF FUN,,
WATU WALIPENDEZA NA NI TUZO AMABAZO ZIMEONYESHA KUWA MABADILIKO YANAWEZAKANA MAANA HATA MASTAA WAKUBWA WALIANZA TETEMEKA KUWA HAWATOWANIA KITU..
ALL IN ALL CONGRATS TO EVERYBODY WHO WAS NOMINATED AND THE WINNERS WHO TOOK HOME THEIR PEOPLE!S CHOICE AWARD,,ALL THE BEST!!
IMAGES KWA HISANI YA BONGO5.COM,BESTIZZO,INSTANGRAM,FB!!!

4 comments:

Anonymous said...

JAMANI WALIOVAA VIBAYA MACELEB
AY,
BABY MADAHA
MZEE MAJUTO HAHAHAAAAAAA
DESIGNER WA DIAMOND ETI DESIGNER FYUU
MUBA NA JOHN WA MKASI
UYO ASIA
MKUBWA FELA ALWAYS HAJUI KUVAA

Anonymous said...

Picha zote mi nimemuona Wema tu am soleeeee WEMA WEMA WEMA SEPETU I LOVE U bhasssssssssss nuru namtetea mzee majuto ni mzee tumuache ila ka wema dah...!!!!!!!!

Anonymous said...

kwikwikwikwi Anony utarogwa wa uswazi wapo wangapi hapo kwikwikwikwi

Anonymous said...

Madame Wema amependeza sana usoni na kama nilivyowahi sema nguo ndefu zinampendeza sana azingatie hilo