Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, May 29, 2015

PLANET BONGO ON EATV!!!!

 THIS PARTICULAR PROMO TULICHAGULIWA MIMI,DIAMOND,ROMA NA HEMED NA NILIFURAHI KUWA MSANII WA KIKE KWA KUCHUKUA NAFASI HII MAANA ILI RUN THE WHOLE YEAR WHICH WAS PROMO ENOUGH FOR ALL OF US,,,

NIMESIKITIKA KUSIKIA KUWA PLANET BONGO HAS COME TO AN END BUT SUCH IS LIFE KUWA KILA KITU KINA MWISHO WAKE,,
DULLAH WAS A FANTASTIC HOST NA ALIKUWA ANAIJUA KAZI YAKE NA KUIPENDA SANA,,
I WAS VERY HAPPY KUWA NILIWEZA KUREKODI KIPINDI HIKI MARA KADHAA SO NAIJUA THE TEAM INFRONT AND BEHIND THE SCENES NA KILA MTU ALIKUWA AKIFANYA KIPINDI KWA UBORA WAKE,,
ALL THE BEST MJUKUU AKE DULLAH I HOPE UTAZIDI KUWA BETTER AND BETTER AT WHAT YOU DO,,ONE LOVE!!!

No comments: