Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, May 31, 2015

MARIA SARUNGI TSEHAI SAID!!!

Nadhani ingekuwa bora zaidi watangaza nia wakubali kufanya mdahalo na kuongea kuhusu malengo na mipango yao badala ya kufanya mihadhara mikubwa ili wananchi tuweze kuwachuja na kuwapima by the content of their characters...
Test of leadership is not pulling the crowds without content but it's about putting the message out and moving the people with the messages.

I GUESS SHE SAID WHAT WAS ON MY MIND,,
CHA MSINGI NI KUONGEA KUHUSU MALENGO NA MIPANGO,,


from DENNIS;Kuna wakati mwingine swala la upinzani tuliweke pembeni tusikilize hoja za msingi zinazotolewa kwa lengo kujenga taifa letu, tuachane na mambo ya kusema huyu ni wa upinzani au huyu wa chama tawala, Mbatia amekuwa akitoa hoja za msingi sana na wengine wengi basi tufanyie kazi ushauri wao ili tuboreshe uchumi wetu pasipo kuangalia itikiadi za vyama maana sote tupo ndani ya nyumba moja na ushauri unaotolewa ni kwa lengo la kuziba nyufa zilizopo na zinazojitokeza ndani ya nyumba tunayoishi. MTAZAMO
No comments: