EDUCATIONAL:LUCY LAMECK!!!
Lucy Lameck (kushoto) mmoja ya wabunge wa kwanza wanawake Tanganyika mwaka 1961. Maoni yake Bungeni kuhusu Sheria ya Ndoa, 1970 "Waacheni wanaume waoe wanawake wengi kama wanavyotaka, watakuja kugundua inawaumiza kuliko kuwanufaisha". Alifariki dunia mwaka 1993 akiwa na umri wa miaka 59.
No comments:
Post a Comment