Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, April 10, 2015

WHAT THE EFFFFFFFFFFF!!!

KUNA VITU UKIFANYA KAMA MTU NA MPENZINWAKO HESHIMA LAZIMA BADO IBAKI HATA KAMA MNATAKA KUONYESHA MAPENZI YENU HADHARANI,,
TO ME THIS IS NOT COOL AT ALL ESPECIALLY THE PICTURE ON THE RIGHT
HUU USHAMBA MWENGINE HUWA UNAPITILIZA NA KUMBUKENI WASICHANA NA WAVULANA LOOK UP TO YOU SASA HII NDIO NINI,,
I LOVE YOU SHISHI BUT THIS RIGHT HERE IS STUPIDITY AND VERY KUJIDHALILISHA TU AND FOR WHAT,,KIKI.COM!!

5 comments:

Anonymous said...

upumbavu mtupu....!!!!

Anonymous said...

hata ingekua wanandoa ingekua pia sio sawa kimadili na kidini na utamaduni wetu sasa hawa ni mtu tu na gf heshima ni kitu cha bureeeee

Anonymous said...

Jamani maadili kwa Shishi tu? Mbona Dai alimshika Zari matako na picha zikaonyeshwa worldwide mpaka kwenye magazeti ya Uganda na watu wakashangilia kwa kwa kwa kwaaaaa!

Anonymous said...

Tena mbaya zaidi watoto wa Zari wako IG na wao hivi watakuwa walijisikiaje? AU mmesahau zile picha tayari Diamond anafinya tako la Zari?

Kusema ukweli sisi kama wanawake tunatakiwa tukemee kwa nguvu udhalilishaji wa wanawake, huyu Nuhu Kaona Diamond kafanya kasifiwa na yeye kaamua kuiga.

Anonymous said...

ushenzi tu ovyo wala sio mapenzi,namna hii siku lzm mwaganae kwann kujionyesha eti "mwapendana" kwa kutupia pics za kishenzi???anhemtia na dole kbs tujue moja...yan sitaki kbs ujinga huu wa pics za undani na mme wangu tushaambiana na kusimamia hilo