KUNA VIUMBE HII DUNIA NI WA AJABU SANA KAZI YAO WAKIAMKA NI KUINGIA MITANDAONI NA KUTUKANA WATU TUU HIYO NDIO STAREHE YAO SASA UKIWAENDEKEZA NDIO KAMA WANAZIDI KUKUPANDA KICHWA SO I THINK NA HII NI KWA MASTAA WOTE ACHENI KUJIBIZANA NA VICHAA WA MITANDAONI ESPECIALLY THE NEGATIVE ONES MAANA THEY DONT HAVE YOUR BEST INTREST TO BEGIN WITH SO WHY BOTHER,,LET THEM STAY IRRELEVANT!!!
3 comments:
Hebu msaidieni Wema, nahisi anahitaji msaada, nyie ma star wenzake semeni nae, mbona anajipa presha zisizokuwa na maana khaa
Wema nae kama mtoto, au ndio uswahili umemzidi? anashindwa kukaa kimya? kunyamaza ni zaidi ya tusi lenyewe msaidie huyo nae kwani akinyamaza atakufa kha
I agree, why didn't she follow her own advice on this one. She was doing really great, but she needs to stop now.
Post a Comment