Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, April 12, 2015

WEMA SAID!!!




Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze... Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto😞😞😞... 

Kumbukeni na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie... Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini jamani... Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hamtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu... Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito namna hio... Kisa mtoto...

 Mnadhani naipenda hii hali... Hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die... 

Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua... Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu... I want dat with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia...

 But just dont rub it in... It hurts... And im jus a human being like each and everyone of u.... πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”


KUNA A FAN ALIANDIKA HUU UJUMBE AND I THINK SHE NAILED IT!!

Wote mmeongea sana mmemaliza yote Tisa ila kumi ni hivi hapa bongo watu wanazaa kwa fashion Fulani kazaa na mimi nizae alaf kuzaa ni mipango ya mtu lazima ujipange na uamue mwenyewe kwamba sasa nataka kuitwa mama wenzetu wazungu huwa wanachelewa kuzaa na unakuta wameoana miaka mingi tu ni kwa sababu wanajipanga kwanza ndo mana wanapozaa wana uhakika wa kumhudumia mtoto maisha yake Hadi anapokua hata idadi ya watoto ni wawili tu si zaidi sana labda watatu mwisho ila sasa Huku wasichana wanazaa mapema sana kabla hata hawajajua future Yao ikoje bado upo kwenu una watoto huna kazi ya maana baba wa watoto nae akukimbie sikilizia mziki wake sasa wasichana zaeni kwa malengo sio kwa kuiga au kwa kidogo ps watu wanasema nini kuhusu wewe sijui umechelewa kuzaa sijui Tasa ifikie hatua sasa kila mtu amind bussiness zake kwanini tunafatiliana hivi??? Mind your own bussiness ndo mana hatuna maendeleo kwa sababu kufatilina kwingi, @wemasepetu usiwafatlishe watu wasemayo juu yako hawatakiwi kumind bussiness zako wewe ndo unayajua maisha yako na mipangilio yako hakuna wa kukupangia usiruhusu mtu akuingilie maisha yako watu tufanye kazi kwa maendeleo yetu na sio kufikiria maisha ya mtu mwingine, kwa kweli sijui bongo watu wataelimika Lini???

MUNGU ANAJUA KAKUPANGIA NINI MBELENI BUT NINGEKUSHAURI USIUMIZWE NA KAULI HIZI KWANI UTAKUTA WANAWAKE NDIO KIPAUMBELE KUTUKANA HAYA MATUSI KAJISAHAU NA YEYE PIA NI MWANAMKE,,
WEMA KUMBUKA KUZAA IS ONE THING BUT KUWA MZAZI BORA IS THEE BEST ACHIEVEMENT
WENGI WANAITWA WAZAZI LAKINI USIFIKIRI WOTE HAO NI WAZAZI BORA,TRUST ME ON THAT
KUNA WATU WANAITWA BABA NA MAMA BUT UZAZI WAO HAUNA MAANA ZAIDI YA KUWALETA TUU HAO MALAIKA DUNIANI,,
KAMA MUNGU AMEKUANDIKIA WAKATI UKIFIKA UTAZAA TUU NA KAMA MUNGU KAKUPANGIA MENGINE BASI TUMIA NYOTA YAKO KUCHANGE LIVES ZA WAKUBWA KWA WATOTO WHICH WILL GIVE YOU BARAKA KUTOKA KWA MUNGU,,
KAMWE USIMPE MWANADAMU MWENZAKO NAFASI YA KUKUUMIZA,KUKUPOTOSHA NA KUKUTAWALA KWA KAULI ZAKE MBAYA KWANI HUYO HAKUWA NA NIA NZURI NA WEWE TO BEGIN WITH,ALL THE BEST WEMA AND KEEP YOUR HEAD UP AND STAND TALL LIKE THE CHILD OF GOD!!!


6 comments:

Anonymous said...

poor gal...hakuwa na hata haja ya kuwajibu wanoknok shenzi zao, raha ya mtoto una uwezo wa kumhudumia, hara ya mtoto wazazi wote wawili wako kwenye malezi,raha ya mtoto ndoa sio kujizalia tuu na kujaza dunia wakti malaika wa mungu wanaishia kunyanyasika bila sababu!!!!

NURU THE LIGHT said...


NADHAN kaona akiwajibu labda watamuacha na maneno yao ila knowing our people mmh sidhan na uko sahihi hakuwa na haja ya kuwajibu but she did it very kadindly and i hope itasaidia,,

Anonymous said...

Yaani wanampa presha sana hawa mafans ushuzi wasio na mafikra ya maisha, na Wema maskini akiambiwa daa anajiona mgumba maskin utazaa tu >Wema mungu ni mwema wa kila jambo, na wakimwona yule upande wa pili Kabeba ndio wanazidi kumsema maskini ni too much sasa, Jua maisha yako Wema usiwajali wapita njia maisha ni yako mamaa mungu atakujalia kila la kheri nawe utapata mtoto kuwa na subra na usichoke kumuomba mungu. Huku Europe kuna kipimo unapima mwenyewe ambacho kinakuonyesha ni siku gani ukutane na mtu wako ili ushike Mimba. Nuru penda sana wewe fanya yako mamaa.

NURU THE LIGHT said...



ahsante mdauuuuuu hahahah ndio nachofanya nafanya yangu washaelewaaaa stress zao watupe ss inahuuuuuuuuuu!!!love u toooo

Anonymous said...

maskini ka wema dah...ukute Mungu hatampa mtoto mpaka afunge ndoa atahangaika now na madaktari wote watashindwa akiidhinishwa tu hilo tendo na Mungu kitu na vibaby hivoo Mungu bwana fundi asikuambie mtu....ila mimi nna list ya wadada wengi blessed kama wema wanahili tatizo cjui ndo Mungu hakupi vyote?Wema mzuri,education background yake nzuri,malezi ya kissure,ananyota kali sana na ya ajabu,,,,kuconcieve shida dah...alie na Mungu ila affocus kwenye mtoto wa ndani ya ndoa maana hata Mungu atamfikiria

Anonymous said...

maskini ka wema dah...ukute Mungu hatampa mtoto mpaka afunge ndoa atahangaika now na madaktari wote watashindwa akiidhinishwa tu hilo tendo na Mungu kitu na vibaby hivoo Mungu bwana fundi asikuambie mtu....ila mimi nna list ya wadada wengi blessed kama wema wanahili tatizo cjui ndo Mungu hakupi vyote?Wema mzuri,education background yake nzuri,malezi ya kissure,ananyota kali sana na ya ajabu,,,,kuconcieve shida dah...alie na Mungu ila affocus kwenye mtoto wa ndani ya ndoa maana hata Mungu atamfikiria