K Vijana wengi wa sikuhizi mmmezidi kujibweteka hampendi kazi Wala kujiajiri wengi mmebaki kuishi maisha ya kuunga unga na kupenda starehe wakati hamna chochote kiwaingiziacho kipato. Mmebaki kupost mapicha ya instagram mnapiga kwenye mahoteli na nyumba za watu. Jiulize ni lini utakuwa na maisha yako mwenyewe yenye mwelekeo. Hapa ninavyoandika kuna asilimia kubwa hamfahamu hata leo jioni mnakula nini na wengine mnatakiwa kulipia kodi za nyumba hamjui mtapata wapi source of income mmebaki kudandia treni kwa mbele kupiga mahesabu ni nani WA kumpiga sound na kumchuna. Wengine nyie muamkapo kila siku mnapiga mapicha na kupost kwenye social media nikiwauliza mlivyo pendeza huwa mnaendaga wapi kazini. Mmebakia kujua leo zari na dai wanafanya nini wakati wenzenu wanaingiza hela. Mnatumia mitandao kutukana watu wakati wao wanaingiza hela. Jiulize ukifa ungependwa uzikwaje? Au unataka uzikwe na jiji?
Mimi si kuja mjini kulima lami naamini hata mchicha unaweza limwa kwenye kokoto. Hivyo basi wale msiojitambua hebu kaeni chini mtafakari kwa makini ni nini hitma ya maisha yako.
MIMI NAJITAMBUA NA NIMEJIKUBALI SASA NA WEWE ANZA SASA KUJIKUBALI.
Mimi si kuja mjini kulima lami naamini hata mchicha unaweza limwa kwenye kokoto. Hivyo basi wale msiojitambua hebu kaeni chini mtafakari kwa makini ni nini hitma ya maisha yako.
MIMI NAJITAMBUA NA NIMEJIKUBALI SASA NA WEWE ANZA SASA KUJIKUBALI.
Pls tag anyone anajitambua kama imekugusa kaa chini utafakari na peleka ujumbe kwa wale wasiojitambua.
New life New Day has to begin Now
4 comments:
Acha uongo!
You purposely took these photos to post on one of your social media account.
Huyu kajiandikia mwenyewe, kwani maisha yake ya mjini hatuyajui? Bwana eeh...kama umeenda kijiji kupunguza stress relax basi sio kujishaua uonekane hard worker. mengi hajashika jembe na kuandika kwa mbwembwe zote na bado anakiki town tulia fanya maisha tukuone sio utuambie tukuone, acha sisi tutoe sifa. mademu wa mjini bwana kujishaua na nyumba za kupanga
Anonymous utasubiri sana kushindana na jembe letu lenye kujielewa. Sio wewe mpiga tararira kwenye blog za watu hata kama anapanga jua anajitegemea na Sio wewe unayesubiria baada ya miezi sita unahama. One thing nachompemdea Rachel Temu she doesn't give a fuck ameajiriwa na anaishi bien. Sitaki kumwagia sifa sana lakini nuru wewe mwenyewe unamkubali huyu demu doesn't take a bull shit from any one. Na hicho ndicho anajivunia sisi tunaofanya airport ndio tunaona safari zake na kuna vitu ambavyo hajaviposti. Wewe anonymous hapo juu ungekuwa unajiamoni ungeenda kwenye post zake jembe letu Rachel halafu uandike upuuzi wako uone ungejibiwa nini. Kwa kifupi Rachel atabakia kuwa jembe na mrembo asiyechuja bado anang'aa. Chenye sifa kipewe credit na Leo nampa Mia Kwa Mia huyu dada kwani she lives her life na hategemei mtu kumuweka mjini. Wewe anonymous hapo juu roho kuntu Kwa kile afanyacho rachel. Narudia tena huyu Sio level yenu na mbaya zaidi she lives the life at presence and no one can take her shinning star away .
Miss Temu, you are always my inspirational and I salute you Kwa yale yote ufanyayo hawa vikojozi wata bakia kupiga tarumbeta na ndio wajue uko bien na ungeamua kutuonyesha yote kama vishakwimbi waamkao asubuhi wanaoga hawajui wanaenda wapi basi ingekuwa tabu. Ndio ushasema imewagusa na imewaumaa sana sasa wakate ndimu walambe chumvi washushie na tikila. Nuru wewe ni mkweli sana ndio maana unaiva na jembe la kichagga.
Team ISIS with love
hahahahaa! povu limekutoka tunamjua shoste A-Z yeye afanyekazi atulie kupanda ndege is not a solution hata wanafunzi wa vyuo siku wanabadilisha ndege kwa fedha za boom na kina Jokate wasemeje hehehehehe kama yeye jembe apige ile kazi ya chini awe mjasiriamali kama kina Kiwia Mboni etc wanawake majembe town tunawajua hizo kelele zako hapo juu zinapoonzwa na goma la Diamond babeeee kunywa vodka ice kichefuchefu kikuishe
Post a Comment