Genuine Nordic Vodka
Sunday, April 19, 2015
POLE SANA LISA!!!
Naomba niweke clear about interview ya u heard aliyonifanyia soudy brown.....its true nimeumwa mda mrefu mimi na mabeste tulikua watu wa hosp na kanisani tuu kumuomba Mungu anipe uzima! Nilijifungua vbaya then kuna mistakes zilifanyika wkt wa kujifungua zkaniletea matatzo! As usual cc wanawake tunakutana na meng wkt wa mimba na kujifungua! sitaki hata kukumbuka! ni kweli mtu wa karibu wa mabeste alijaribu kuniua mm na mtoto wangu!! Sitapenda kumtaja coz tulisham samehe!! Alicho kifanya huyo mtu alifungua nati za tyre za gari yangu akazilegeza...alitoa break za gari na alijaribu kututengenezea ajali ya kugongwa na roli! Thank God mtoto nlikua nimemuweka kwenye car seat ya watoto amefunga mkanda na mm nilifunga mkanda....so nilipoona roli linatufata nilijitahid kulikwepa nikaenda kugonga ukuta.....so mm na mtoto tukapona tulihis ni gari tuu imezngua ila badae kuna mtu wa karibu alituambia ni flani aliyefanya na tulipomchunguza tulijua ni kweli mabeste alipo m face na evidence alikiri kweli na akaomba msamaha so sisi tukaendelea na life yetu!!! Inauma na sitak kukumbuka coz aliyefanya hivyo cjawai kumkosea kitu wala mabeste hajawai kumkosea!! Ila si kama alivyozungumza soudy brown kua nimerogwa!! Na aliponiuliza nimepigwa kipapai I thought ana maanisha ajali thats why nikaitikia!! Inawezekana soudy amepokea taarifa ambazo c sahihi na wkt ananiuliza akili yangu ili lenga ajali na kuumwa kwa mda mrefu nikajibu kama nilivyojibu ila badae tena naskia ni habari za kurogwa duh!! Thats a false news.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
POLE LISA MUNGU ATAKUPA KINGA ZAID.ILA KUMBUKA MDOMO HUPONZA KICHWA NA SIKU ZOTE UKIJIBU FIKIRIA KWANZA .BORA UNYAMAZE KUIKO KUJIBU WRONG.
MUWEKE MUNGU MBELE HATA KAMA NI MKONO WA MTU HAUNA UWEZO MBELE YA NGUVU ZA MUNGU.
TAFUTA MA WATAALAMU WA MSONGAMANO WA MAWAZO .SIKU ZOTE UKIUMWA NA HUJUI NI NINI NA HUPATI JIBU SAHIHI UNAWEZA UKAUMWA KWA MAWAZO SIO KWA KWA UGONJWA.ILA KUZIMIA NDO KUNANICHANGANYA .
KAMA UNA HELA NENDA NCHI ZA NJE BONGO KUNA UTATA , MAMA YAMGU ALIUMWA KANSA TULIMALIZA HOSPITALI ZOTE ZA ZA GHALI .MARA TAIFOD,MALERIA NDO KILA UKIPIMA NA WAKATI MWINGINE HAWAONI UGONJWA.
Post a Comment