Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 30, 2015

LAKE VICTORIA I APPRECIATE YOU EVEN MORE NOW THAN EVER,LES ROADTRIP!!!

 WAVUVI WANAISHI MAISHA YA KISHUJAA,,AISEE,,,
 ON THE MENU SUPU YA SATO WITH KITUMBUA NA PEPSI BARIDIIIIIIII,,,RAHAAA

 SHE IS BLIND SHE CANNOT SEE BUT STILL IT WAS SO SO GOOD TO SEE HER,,
TULISAFIRI TU KWA AJILI YAKE TUWEZE KUMUONA MAANA HAONI NA ALIKUWA HAWEZI KUONGEA PIA BUT ALIVYOTUONA ALIIMBA,ALIONGEA,ALICHEZA KWA FURAHA NA TABASAMU, KWELI MUNGU NI MWEMA,,,

 LAKE VICTORIAAAAAAA,,WHEN WE SAW IT WE COULDN!T RESIST!!!
ME AND MY BROTHER  JUMPED IN THE WATER WITH MY GEAR AND ALL HAHAHAH,RAHAAAAAAA!!
THAT!S ALL FOLKS CAUSE YOU KNOW YOU LOVE ME,XOXO!!!

2 comments:

Anonymous said...

Hongereni sana kwa kwenda kumuona bi mkubwa. Furaha yake haina kifani,japo awaoni ila moyoni amejawa na furaha kwa kuongea nanyi. Ni pande zipi za ziwa victoria? Love u Nuru

NURU THE LIGHT said...Alifurahi SANA na alivyoamka alisema nivalusheni nipendeze not knowing tunakuja kumuona,,,love u too!