Genuine Nordic Vodka
Monday, March 30, 2015
CONGRATS TO BOTH JACQELINE AND REGINALD MENGI!!!
REGINALD MENGI WITH HIS JACQUELINE,,,
MOTHER WITH LES TWINS,,,
ON HER BRIDAL SHOWER,,
A DESTINATION WEDDING,GREAT CHOICE!!!
CONGRATS AND ALL THE BEST TO YOU BOTH,,
SOMETIMES IT!S BEST TO JUST READ THINGS AND LEAVE THEM AS THEY ARE SIMPLY BECAUSE GOD GAVE YOU ONE LIFE TO LIVE SO CONCETRATE WITH THAT AND STOP LOOKING INTO THINGS WITH SUCH ADMIRATION OR HATE TO THE EXTEND THAT YOU START MISSING THE IMPORTANCE OF WHAT IS GOING ON IN YOUR OWN LIFE BECAUSE YOU ARE TOO BUSY LOOKING AT SOMEONE ELSE!S LIFE RATHER THAN YOUR OWN,,
MAKE YOUR OWN HISTORY WHICH YOU WILL BE PROUD OF AND THE ONES CLOSE TO YOU AND STOP COPYING OR WANTING SOMEONE ELSE!S LIFE WHEN YOU ARE THE BOSS OF YOUR OWN,,
KUNA WAKATI UNAKOSA KUTAMBUA KILICHO MBELE YAKO,MBELE YA MACHO YAKO KISA TU UKO BUSY KUTAFUTA NANI KAFANYA NINI,NANI ANA KIPI NA JE KAKIPATAJE??
MUNGU KAKUPA ONE LIFE TO LIVE KUMBUKA MAISHA YAKO HUWEZI REWIND UKARUDIA UKISHACHOMOKA NDIO UMECHOMOKA,,
TUNAJUA KIMAISHA TUNATOFAUTIANA LAKINI KUMBUKA KWAMBA BEING HAPPY MEANING KUWA NA FURAHA MAISHANI CAN BE ACHIEVED BY ANYBODY NO MATTER WEWE NI TAJIRI AU MASKINI,,
HUWA NACHEKA SANA MTU AKISEMA OOH AMETOKA KIMAISHA KISA KAPATA MUME AU MPENZI TAJIRI UNAKUTA WANAWAKE MMESHUPAA OOH AMETOKA KIMAISHA I MEAN REALLY,,JAMANI KUNA KITU MUHIM KAMA KUWA NA UZIMA NA AFYA??TAFAKARI
I WAS RAISED BY A STRONG AFRICAN WOMAN WHO TAUGHT ME A VERY IMPORTANT LESSON NURU KUWA INDEPENDENT,JITEGEMEE AND I AM DOING JUST FINE AND PROUD OF IT AND TONS OF OTHER WOMEN ARE DOING SO ASWELL,,
TAFUTA CHAKO MWAYA IT TASTE BETTER,,
CHA PILI WANGAPI TUMEWASOMA NA MAJANGA YAO YA KIMAISHA NA UTAJIRI WANAO,,
WANGAPI TUMEWASOMA WALIOPOTEZA MAISHA YAO SIMPLY BECAUSE WALIKUWA WANATAMANI SANA MAISHA YA JUU??
SHIDA HAIGONGI HODI NA HAIBAGUI WHETHER WEWE NI MASKINI AU TAJIRI
NA VILE VILE HAPPINESS(FURAHA) HAIBAGUI TAJIRI WALA MASKINI KAMA WEWE UTAIKARIBISHA MOYONI MWAKO,NIMEMALIZA.COM!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
ndo mana wengine wanauza sembe ili wawe matajiri mxiiiiiiiiii
Post a Comment