THESE ARE THE ONES THAT GOT AIRBRUSHED MEANING EDITED,,
THE INTERNET AND ITS DIFFERENT ASPECTS THAT HAS GIVEN US ALOT BUT THAT DOESN!T MEAN THAT ALL OF IT IS POSITIVE.
I HAVE SEEN ALOT OF PEOPLE EDIT THEIR IMAGE CAUSE LETS FACE IT KILA MTU ANATAKA KUPENDEZA NA KUONEKANA NA MUONEKANO MZURI BUT JAMANI HII KU EDIT MAPICHA UNAKUWA UNAJIDANGANYA MWENYEWE NA ULIMWENGU TUU,,
ANOTHER THING IS THAT ALOT OF PEOPLE LOOK UP TO CELEBRITIES AND SOME SO MUCH TO THAT EXTEND THAT IT!S NOT HEALTHY,,
WADADA WANGAPI SASA HIVI WAKO OBSESSED NA KUWA NA MATAKO MAKUBWA YAANI NI KAMA VIRUS BAADA MTU ATAFUTE ELIMU ANATAFUTA MAKALIO AND HAWA MASTAA WENGINE ARE NOT HELPING AT ALL AND AMBER IS A GOOD EXAMPLE KWANINI KA EDIT MAPICHA YAKE TO THAT EXTEND MPAKA WATU WANAONA KAMA WANADANGANYWA AND IN A WAY THEY ARE CORRECT I MEAN SHE IS A BEAUTIFUL WOMAN WITH CURVES WHATS A SHAME IN THAT SINCE ALOT OF WOMEN HAS CULLITES AND CURVES,,
SHE IS A WOMAN WHO HAD A BABY AND YOUR BODY CHANGES WHEN YOU GIVE BIRTH AND SOME BOUNCE BACK FASTER THAN OTHERS,,
I THINK GIRLS LOOK UP TO HER AND SHE NEEDS TO SET AND EXAMPLE NOT ONLY HER BUT MANY IN HER POSITION SIMPLY BECAUSE YOUNG GIRLS AND WOMEN AMBAO BADO HAWAJITAMBUI WANAWATIZAMA,,
SHE JUST NEEDS TO SHOW HER BODY AS IT IS AND NOT OVER EDITING HER PICTURES,,
ALOT OF PEOPLE MNAJIEDIT MPAKA MNASIKITISHA ESPECIALLY KAMA MTU KASHAWAHI WAONA LIVE.COM
NA UNAMDANGANYA NANI BY KUBADILISHA RANGI YAKO,SHEPU YAKO AU KUJAZA MAKALIO KWENYE PICHA THAN YOUR OWN SELF,,
YAANI HAKUNA KITU KITAKUJA KUKUPA RAHA KAMA KUWEKA PICHA ZAKO HALAFU MTU AKIKUONA ANAKWAMBIA HOW BEAUTIFUL YOU ARE AU ANAGUNDUA KITU BY KUKUONA NA KUKUSIFIA NA HAMNA KITU KINAUMA KAMA UDANGANYE WATU HALAFU SIKU WANAKUONA THEY GO LIKE OHHH REALLY HUKU WAMEKUNJARING USO,,
YAANI VITU VINGINE HUWA MNAJITAKIA TUU FOR NO REASON,,
TUJIPENDE,TUJITHAMINI,TUJITAMBUE NA MOST IMPORTANTLY TUJIKUBALI.COM
No comments:
Post a Comment