Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, February 24, 2015

#STOPALBINOKILLINGS!!!

NASKIA AIBU THAT TANZANIA MWAKA 2015 KUNA BAADHI YA WATU NA IMANI ZAO ZA AJABU WANAUWA HAWA VIUMBE FOR NO REASON AT ALL,,
KIUKWELI INASIKITISHA NA NA AIBU MNAJIITA WATU WAKARIMU HALAFU MNAFANYA UNYAMA WA AINA HII,SHAME ON YOU,IMEMALIZA.COM!!!

3 comments:

Anonymous said...

njaa ya pesa

Anonymous said...

tunapiga kelele kwenye mitandao na whatsapp,etc je walengwa wanaotakiwa kupata huu ujumbe tunawafikia?I mean hao wanaokata watu mikono wapo ktk mitandao na whatsapp? I dought,
pia serikali inafanya nini kuhusu swala hili, mi naona hawafanyi chochote thats why mauaji yanaendelea

NURU THE LIGHT said...



hili swala ni kubwa sana na nadhani mwanzoni walikuwa wakiliweka kisiri hawataki nchi iaibike but sasa imefika point ya UKWELI lazma uongelewe kuwa hiki kitendo kinafanywa na we can start by bringing awarness then kinachofuata ni sheria lazma wanaofanya wajue kuna adahabu laasivyo hamna maana wataendelea tu kuwauwa albinos for wateva cause wanajua wao,,inasikitisha sana!!