Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, February 16, 2015

THEE SEATBELT!!



Its been a while since i brought up a subject and today i want to talk about the SEATBELT..

HIVI WAKATI HIKI KITU KINAWEKWA KWENYE GARI MLIDHANI KUWA HAKINA UMUHIM!?
NIMENOTICE WAZAZI WENGI TANZANIA HAWAWAVALISHI WATOTO SEATBELT AND I WONDER WHY SINCE WE ON THE SUBJECT ABOUT SAFETY.
INANISIKITISHA NA KUNISHANGAZA KUWA LAZMA MTU MZIMA TENA MZAZI UAMBIWE KUMVALISHA MTOTNO WAKO A SEATBELT I MEAN REALLY!
NASHANGAA MAANA WATU HAWAFUATI SHERIA ZA BARABARANI AND YET YOU TAKE THE RISK YA KUTOMVALISHA MTOTO WAKO A SIMPLE THING CALLED THEE SEATBELT!
JAMANI A SEATBELT SAVES LIVES SO UHESHIM MKANDA AND NI KITENDO KIDOGO TU...
JILINDENI NA THAMINI MAISHA YENU NA FAMILIA ZENU BARABARANI!



2 comments:

Anonymous said...

Yaani hii kitu ni tatizo Bongo, mtu anaona nguo yake itajikunja akifunga seatbelt! Imagine that!!! Libichwa lake litakapokuwa limepasuka pasuka ma brain yote nje... Sijui atakumbuka kukunjika kwa nguo!! Ovyo sana! Watoto unawakuta mbali hawajavaa seatbelt wanarukaruka juu humo ndani ya gari!! School bus ndio usiseme! Yaani hakuna mfano!! Sad!

Unknown said...

Yani sijui ni kwann ila weng wanazalau seatbelt ndo mana