Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, January 3, 2015

PAKA ROAD VS MBWA MWITU!



Kwanza kabisa Happy new year everybody and with that being said jana my mom na ndugu zangu wengine walikutwa na panya road mwenge aisee vitu vingine viskie tu ila usiombe vikukute kabisa.
Hivi inakuaje vijana wanafikia hii hatua kimaisha?
Ni kipi kimewafanya wagive up onlife kiasi kwamba waamue kuwaharibia wananchi wanaotafuta rizki yao kwa uwezo walio nao?
Is this thee new Tanzania?
As a nation na uralama wa nchi tunaelekea wapi?
Je polisi au uongozi wamejipanga vipi hiki kitu kikitokea tena?

My mom aliongea sentensi moja tu which said it all,,
She said Tanzania ni nchi yangu na naipenda sana ila kitu nilicho experience leo says alot about thee Tanzania of today.
Inakuwaje vijana zaidi ya mia mbili wanleta damage ya kiasi hiki kwa raia?
Ni kipi kinachowafanya wajiamini kiasi hii?
Kweli Tanzania ni nchi yangu ila Mungu ibariki Tanzania!

3 comments:

Anonymous said...

SERIKALI MBOVU!! SERIKALI IMEOZA! WANANCHI WAMELOGWA NA SERIKALI HII!! MAELA YA ESCROW YANGETENGENEZA AJIRA NGAPI KWA VIJANA! MAELA YA EPA YANGETATUA VIPI AJIRA KWA VIJANA! MAELA YA RICHMOND, MIKATABA MIBOVU ILIYOWEKWA MIAKA 70 ILIYOPITA BADO INAENDELEA KUTUNYONYA! HATA HAYA YAKITOKEA TUTASHANGAA KWELI! HILI NI JANGA KABISA! HATA ALICHOKISEMA MAMMY WAKO NI SAWA KABISA HII SIO TANZANIA YA ZAMANI YA KUISHI KWA PAMOJA NA UPENDO! HALI YA MAISHA INAYOTUBANA NA SERIKALI YETU NI INATUFANYA TUNAGEUKANA, TUNAUANA WAKATI WAHUSIKA WAMEKAA KWENYE MAOFISI WANALINDWA NA BUNDUKI PANYA FOOLISH ROAD HAWASOGELEI!!

Anonymous said...

Najuwa wananchi tuna haki ya kuongelea Escrow ila isiwe sababu ya fujo zilizotokea, watanzania hasa sie vijana tumeachiwa tabia mbaya nyingi mpaka tunavuka mpaka watanzania vijana tumedekezwa vibaya Sana, watanzania vijana tumeachwa kuiga yasioigwa meengi ila ya maana hatuchukui ndio mwisho huu tunauona kila mtu anajiona mwamba panya road hivi je uchaguzi ukija? Serikali ilete jeshi mjini sasa heshima zianze jiji tuseme neno linaemdelezwa kuwekwa safi sio kutolewa uchafu tushachoka neno kutolewe uchafu tunataka kusikia kunaendelezwa usafi, jeshi waweke utawala wa usafi,kutokomeza wezi,fujo, tabia mbaya NA baa mwisho nne usiku NA vilabu mwisho tisa usiku tuige Rwanda tupende kuiga mazuri mwisho tutazoea hata panya road watajifunza tabia NA wakikamatwa wapelekwe mafunzo sio kuozea jela. Mz

Anonymous said...

I LOVE TANZANIA BUT!!!

NAIPENDA NCHI YANGU ILA INANIKATISHA TAMAA NIKIANGALIA VINAVYOTOKEA NAHISI KAMA NIKO HOLIDAY COLOMBIA .NINAISHI SWEDEN ILA SITAMANI NIISHI HAPA MPAKA KUFA KWANGU.
NIKIJA TANZANIA KWENYE HOLIDAY NATEMBEA NIKIWA NIMEPOTEZA IMANI YA USALAMA WA ROHO YANGU NA WANANGU.
HAKI YA MTANZANIA IKO KWA MWENYE JINA AU PESA.
AMANI IMETOWEKA .DEC NIKIWA BONGO KUNA KIJANA ALIUWAWA TUKIWA CLUB NA SIJUI KAA MUUAJI ALIONEKANA,
WANAOBAKWA ,WANAOUAWA BILA SABABU SHERIA NA HAKI ILIPOTEA
JAMANI TUITENGENEZE AMANI