Mh this is a tough one nuru, I never thought of it that way. But she is right, sio kila mtu angependa kuwa na mtoto ni sawa na sio kila mtu angependa kuolewa. Hayo ni maamuzi ambayo kila mtu anayafanya kwani ni maisha yake yy mwenyewe. But I watched a movie I dont remember its name and a lady was havin difficulty getting pregnant, her sister got pregnant but offered to give her the baby. After she delivered the baby alikataa kumpa dada yake bcoz the connection she felt with the baby was beyond her expectations. She didnt expect to love the child that much. My point is, am pretty sire that all those women who dont wanna hv children once they get one they will question why they didnt want to experience motherhood in the first place. Nimemaliza.com,lol.
kwakweli for those ambao hawajajaliwa sawa. but kwa wale ambao hawataki tuu just because they dont want CHIEFFFF THEY SHOULD THINK AGAIN.MTOTO NI HABARI NYINGINE YOOOH
duuuh hiii leo kali.. its true. am going thru that rightnow. am 28yrs. single and successful. while am torn between getting married having kids,part of me dont want that either. sijui ni uoga wa kulea na the unknown. sijui. but one thing ill do kilasiku is remaining tru to myself
kali kabisa am 28 also niko single. ila nawish sana tena sana kuwa na mtoto tena watoo ila sitaki kuolewa na naogopa sana kuingia huko. ila namwomba mungu anijalie nipate na hiyo ndo furaha yangu..
Mmmh Mimi nitasimamia sana katika imani za dini. Tumeambiwa "Nendeni, Pendaneni, Owaneni, Muongezeke muujenge ulimwengu!
Ulimwengu bila walimwengu utakuwepo?
Kila MTU ana Uhuru wa kuish apendavyo, lakini kwa mtazamo Wangu, mwanamke bila mtoto ni kwa kuamua mwenyewe tu! Lazima kuna sababu ya kidunia zaidi.
Mfano wanawake tunaotupa watoto! Jamani tusiwahukumu moja kwa Moja, wanakuwa out of their mind kabisaa. Jiuliae Chizi anazaaa na mtoto wake anamlinda kuliko chakula ambacho hajui atapata au hapati!,
Hapo no kurud kwa muumba. Kupata kujiuliza Mara mbili na kuchukua hatua.
Duh kila LA kheri lkn watu hawalali kutafuta kuitwa Maaaaa
but swali langu je ww unadhani kila mtu is fit to be a parent???
tunazaa because tumeambiwa tucreate au tuzaa because tunataka onekana sio matasa na je tunazaa because jamii inataka tuzae???
na kama watoto dunia imejaa watoto tele leo hii wanaoteseka je huyo mtoto unamjibu nn akikuuliza kwann mimi nimezaliwa na kuletwa hapa duniani,,ili nije niteseke au??
whether we like to admit it or not kuna vitu tunafanya selfishly kuridhisha nafsi zetu tuu,,
sema swali bado hatujajibu je mwanamke aloamua kutokuzaa je yy si mwanamke kamili,,inamaana uzazi ndio unadefine you as a woman so kuzaliwa kawa mwanamke haitoshi mpaka uzae ndio you are a woman!!!swali hilo
halafu Herrieth we mchokozi hahahahahahah.commmmmmmm
8 comments:
Mh this is a tough one nuru, I never thought of it that way. But she is right, sio kila mtu angependa kuwa na mtoto ni sawa na sio kila mtu angependa kuolewa. Hayo ni maamuzi ambayo kila mtu anayafanya kwani ni maisha yake yy mwenyewe. But I watched a movie I dont remember its name and a lady was havin difficulty getting pregnant, her sister got pregnant but offered to give her the baby. After she delivered the baby alikataa kumpa dada yake bcoz the connection she felt with the baby was beyond her expectations. She didnt expect to love the child that much. My point is, am pretty sire that all those women who dont wanna hv children once they get one they will question why they didnt want to experience motherhood in the first place. Nimemaliza.com,lol.
kwakweli for those ambao hawajajaliwa sawa. but kwa wale ambao hawataki tuu just because they dont want CHIEFFFF THEY SHOULD THINK AGAIN.MTOTO NI HABARI NYINGINE YOOOH
duuuh hiii leo kali.. its true. am going thru that rightnow. am 28yrs. single and successful. while am torn between getting married having kids,part of me dont want that either. sijui ni uoga wa kulea na the unknown. sijui.
but one thing ill do kilasiku is remaining tru to myself
kali kabisa am 28 also niko single. ila nawish sana tena sana kuwa na mtoto tena watoo ila sitaki kuolewa na naogopa sana kuingia huko. ila namwomba mungu anijalie nipate na hiyo ndo furaha yangu..
Mmmh Mimi nitasimamia sana katika imani za dini. Tumeambiwa "Nendeni, Pendaneni, Owaneni, Muongezeke muujenge ulimwengu!
Ulimwengu bila walimwengu utakuwepo?
Kila MTU ana Uhuru wa kuish apendavyo, lakini kwa mtazamo Wangu, mwanamke bila mtoto ni kwa kuamua mwenyewe tu! Lazima kuna sababu ya kidunia zaidi.
Mfano wanawake tunaotupa watoto! Jamani tusiwahukumu moja kwa Moja, wanakuwa out of their mind kabisaa.
Jiuliae Chizi anazaaa na mtoto wake anamlinda kuliko chakula ambacho hajui atapata au hapati!,
Hapo no kurud kwa muumba.
Kupata kujiuliza Mara mbili na kuchukua hatua.
Duh kila LA kheri lkn watu hawalali kutafuta kuitwa Maaaaa
but swali langu je ww unadhani kila mtu is fit to be a parent???
tunazaa because tumeambiwa tucreate au tuzaa because tunataka onekana sio matasa na je tunazaa because jamii inataka tuzae???
na kama watoto dunia imejaa watoto tele leo hii wanaoteseka je huyo mtoto unamjibu nn akikuuliza kwann mimi nimezaliwa na kuletwa hapa duniani,,ili nije niteseke au??
whether we like to admit it or not kuna vitu tunafanya selfishly kuridhisha nafsi zetu tuu,,
sema swali bado hatujajibu je mwanamke aloamua kutokuzaa je yy si mwanamke kamili,,inamaana uzazi ndio unadefine you as a woman so kuzaliwa kawa mwanamke haitoshi mpaka uzae ndio you are a woman!!!swali hilo
halafu Herrieth we mchokozi hahahahahahah.commmmmmmm
Hapana Nuru wapo Mburulas ambao hawako Tatar kuitwa mama na ulezi hawauwezi kabisa. Bora wabaki mamiss tu.
Kuzaa ni matayarsho, ya kiakili, kimwili, kimali, na kujitoa kwa lolote, kwani mimba ni simple sana, ila ilezi ndiyo ngoma yenyewe.
Hatuhitaji kina mama wa aina hiyo, tunahitaji kina mama ambao wako tayar kubeba jukumu LA Umama.
Hii is hu ni pana sana.
Mwanamke ambaye hajazaa bado ni mwanamke, na anaweza kuwa mwanamkebora ktk jamii kuliko hhao waliozaa.
Kuzaa si tija name wala so kuwa mwanamke bora.
Kubwa hapa wewe umetumia vipi nafas yako kama mwanamke katika jamii.
That's it!
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke hata akiwa Mgumba.
Post a Comment