Genuine Nordic Vodka
Tuesday, November 4, 2014
WELL SAID EDO KUMWEMBE!!!
ZAMANI...Yule msichana unayempenda sana..sana..vipi anapomsindikiza mama yake kuja kwenu kumtembelea mama yako..(mapigo ya moyo yanaenda kasi).au vipi anapoingia darasani kwenu akakaa deski la kulia akiongea na mwenzake.(mapigo ya moyo yanaenda kasi)..au vipi mnapokutana mko wawili katika barabara tulivu mkiwa wawili tu..(mapigo ya moyo yanaenda kasi)...I miss those days...Hakuna simu ya mkononi...pesa nayo sio mwongozo..You just love her...halafu unamuheshimu na anakuheshimu...nimekumbuka tu. I miss those days, maisha yalitawaliwa na hisia sio pesa!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Umenena kaka ilikuwa inaladha sana
Umenena kaka ilikuwa inaladha sana
Namtaka my lionel ritchieeeeeeeeeeeeee hahahahahah
Hahahahahah Nuru!
Ukweli mtupu. Nafikiri Eddo ni my genre and wa kizazi changu , enzi za Mwalimu.com.
You just love for no reason other than hisia tu. Huna cha kumpa wala cha kupewa lakini you just love.
No simu, na wala hakuna hata uthubutu wa kwenda kwao, kiasi kuonana ni a matter of sheer coincidence, kama alivyosema hapo labda kaja na mamake alivyokuja kumsalimia shosty wake yaani mamako au mmekutana mkienda dukani kununua mkate wa Siha LOLEST.
au darasani. na sasa walimu wa miaka yetu walivyokuwa wafuatilizi, waone tu unambania jicho ( kama una ujasiri huo) au unamwangalia kisivyosomeka weeee!
I miss those times too kiukweli maana mapenzi ya siku hizi hata sielewi tunapendana kiukweli au ili tuonekane na sie tuna watu? au ili TUZAE? LOL Nuru at this nikizingatia topic ya juzi au tunapenda hela za mtu? au shape hata sijui.
I miss enzi za kula unyasi kwa aibu mwenyewe mtu akikutania 'we mchumba'
Au kwa vijijini appointment za kisimani au wakati wa kwenda kusenya kuni!
haloooo.com
Post a Comment