Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, November 11, 2014

THETRUTH.COM!!



Shkamoo Tanzania

Nchi ambayo watu hushinda online 24 hours kila post wanacomment alafu wanalalamika maisha magum#shenzy fanya kazi


Nchi ambayo watu hawajui katiba yao ya zaman lakini wanataka katiba mpya kwa hali na mali!!##pumbavu penda kujifunza

Nchi ambayo ajira ni nyingi lakini wasomi asilimia 90 wanataka kuajiriwa## Kilaza jifunze kujiajiri

Nchi ambayo mnatongozana asubui jioni mko supermapenzi gest house## nyambafu mnatofaut gani na ng'ombe wa mbegu....kuwa mgumu wewe sometym

Nchi ambayo mitahala na matokeo ya sekondari yanabadilishiwa utaratibu kila cku ili taaluma ipande lakni ndo kwaanza manunda yanaongezeka##

Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana......DAH KAONGEA MPAKA NASISIMKAAAAAAAAA!!!

No comments: