Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, November 18, 2014

EDWIN VS BIKIRA WAKISUKUMA!!!



Kuna Wanaume huwa nawasikiaga wakiongea kwenye Vijiwe halafu huwa naishia kuwashangaa tu, "Demu wangu nampa KILA KITU lakini bado anachepuka sijui kwanini HARIDHIKI"....Sio kweli blaza!! Aliyekwambia Mwanamke anataka KILA KITU ni nani???Mwanamke anataka kitu KIMOJA TU.. Kama hela kashapewa sana na Si ajabu waliommiliki kabla yako walikuwa wanampa hela nyingi kuliko wewe na viLAKI vyako vya ngama..Unadhani kwa sababu we ni BOSI basi inatosha??Unadhani kwa sababu unamhonga inatosha kumtuliza??Kisa una Title ndo awe wako peke yako?? Siku ukijua Anayekugongea UTASHANGAA mpaka Utaumwa Tezi Dume hapohapo..Kijamaa tu hakina hela,kina sura kama Katiba Mpya lakini ndo KINAKUMEGEA.. Mwanamke anataka Apewe kitu Ambacho Hakuna Mwanaume amewahi kumpa huko nyuma.. Giv her Something New She has never experienced,Marudio waachie ITV! Ukipewa Mbunye Sugua Kitofauti mpaka Chumba kinukie Mishkaki ya Eddo!! written by #BikirawaKisukuma



Aliyewaambia muoe wanawake wabaya nani...oh sorry,sio wabaya..Wanawake wasio na mvuto kukidhi haja na matamanio yenu ya kimwili...Unaoa mke ana sura kama dumu la Korie na ulijua utaishi nae milele,unamvundika ndani kama embe bolibo halafu wewe unaenda Club na kicheche kingine,Ulioa ili iweje???HUNA AKILI!
Aliyekwambia ukubali Pete ya Mwanaume ana sura kama gudulia la Dizeli kisa ana hela,na unajua kabisa hujampenda yeye ila umependa hela zake tu,ikitokea sherehe au pati unatoka na Ex wako au kishandundu kingine tu na sio yeye,aliyekwambia hela ni kila kitu nani???HUNA AKILI...
Chagua Mpenzi/Mke/Mme ambaye atakidhi HAJA,HAMU, na MATAMANIO yako ya Kimwili na kihisia,kama sura ya mjomba ndo chaguo lako mpende, usione aibu kutoka nae maana ndio chaguo lako,sio Unachagua mtu halafu unaanza kuwa na Branches kama CRDB Bank...HUNA AKILI
LikeLike ·  · 

4 comments:

Anonymous said...

Naomba kuuliza,huyu Edwin anapatikana wapi,I mean website....nikacheke vizuri maana mmmh....

NURU THE LIGHT said...



insta and facebook,,

Anonymous said...

ok, thanx doll...

mamlious said...

nuru, i love these guys mana wananifanya nicheke hata kama nilikuwa na stress kiasi gani, uwe unatuwekea mara nyng, m ni msomaji mzr wa blog yako and i love u the way u r, coz hauko na majivuno japo hatujawai kuonana,
keep t ma dada, lv u