Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, November 1, 2014

A NOTE FROM THE BOTTOM OF MY HEART!!!


NIMEKUWA NIKIONA NA KUSOMA STORI ZA AINA HII NYINGI ILA SIJAWAHI KUZIADRESS ILA LEO BAADA YA KUSOMA KUHUSU HUYU KIJANA NIKASEMA ENOUGH IS ENOUGH,,
INAKUWAJE UNAMKATA VIDOLE MTOTO WA MWENZAKO AS IF YEYE HANA WAZAZI,HANA HAKI NA NANI ANAKUPA HAKI YA KUMTIA MTU KILEMA KWA KITU KAMA HICHI AISEE JAPO MIMI SIJAKULIA TANZANIA NILIDHANI SISI NI WATU WENYE ROHO NZURI KUMBE,,

NILIONA YULE ALIMUUNGUZA NA PASI JAMANI WHY AND FOR WHAT,,
HIVI WEWE MTOTO WAKO ANGEFANYIWA HIVI UNGEKUBALI LET ALONE WEWE MWENYEWE,,
TOKEA LINI UNAMTREAT MFANYAKAZI NA KUMUONA KAMA MNYAMA and FOR WHAT HICHO KIMSHAHARA UNACHOMPA WHICH WE ALL KNOW MNAWAPUNJA NA KUWAONEA KWA KAZI WANAZOFANYA NDANI WENGINE HATA OFF HAWAPEWI SIKU 364 WANAFANYA KAZI KAMA PUNDA,,

WANGEUNGA UNION WAFANYAKAZI WA NDANI MNGEISHIJE HIYO NCHI MAANA KUNA NYUMBA UTAKUTA HATA WAFANYAKAZI NNE AU WATANO NA NILISHASHUHUDIA NYUMBA WALIKUWA NA WAFANYAKAZI NANE KILA MTOTO NA WAKE PLUS WA KAZI ZA NDANI NA KUPIKA,,REALLY???

KIUKWELI KUNA WAKATI HAWA WANADAMU HAWATENDEWI HAKI KABISA,,
MNAWAPA WAKATI MGUMU SANA KIASI SASA IMEKUWA KUPATA MSICHANA AU MVULANA MZURI WA KAZI ZA NDANI NI NGUMU OFFCOZ SI WANAHADITHIANA NA KUELIMISHANA NA NANI ATATAKA KUBAKI NYUMBA ANATESWA,,WOULD YOU?
KUNA WATU HAWANA SHUKRANI HATA UWAFANYIE NINI YES I AGREE ILA KIUKWELI MARA NYINGI SANA NIMEKUTA WATU WANAMISSTREAT WAFANYAKAZI WAO TENA SANA VERBALLY ABUSE THAN PHYSICALLY,,
UTAKUTA MTU HATA KUPUMUA HAWEZI MASKINI KILA SAA AKIMBIE KAMA PUNDA NA HASWA HAWA WANAOPIGA WAFANYAKAZI NDIO SIWAELEWAGI KABISAA,,
NAJUA WENGI WENU MNA WAFANYAKAZI NA WENGI WENU MNAWATESA ONE WAY OR THE OTHER MAANA NIMETEMBEA NYUMBA NYINGI SO NAJUA NINACHOKIONGELEA,,
MTOTO WA KIUME IS 15 BADO UNATAKA AFULIWE ILI IWEJE,,
WENGINE NDIO MNAWALEMAZA WATOTO WENU HAWAFANYI CHOCHOTE NDANI AND THEN BAADAE MTU AKILALAMIKA OH HAJUI KUTUNZA NYUMBA YAKE MTAMLAUMU NANI,,
MTOTO LAZIMA AJIFUNZE PERSONAL RESPONSIBILITY ILI IMSAIDIE KIMAISHA AU MNATEGEMEA NA KUTAKA WATOTO WAKAE HOME FOR LIFE??
WEWE UTAKAVYOISHI NA WAFANYAKAZI WAKO HIVYO NDIVYO NA WATOTO WAKO WATAISHI NAO NA KUWAHESHIM HALAFU HUWA MNAJISAHAU MAANA HAO NDIO WANAJUA MAMBO YENU YOTE YA NDANI SO WAKIWAAMULIA WANAWEZA ANDIKA HATA KITABU SASA KWANINI HAMUISHI NAO KIBINAADAM,,

YAANI KUNA VITU NI COMMON SENSE ILA UNAANDIKA UTAFKIRI NIKITU MLITAKIWA KUPEWA DEGREE KUELEWA KUMBE NI SIMPLE MATHEMATICS
JARIBUNI KUKAA NA WATOTO WA WENZENU VIZURI NA KIUNGWANA NA KAMA MTOTO WAKO HUMDUNDI KWANINI UMDUNDE NA KUMTESA WA MWENZIO,,
SIO KILA UTAKAYEMUAJIRI NI MBAYA BALI JARIBU KUBADILIKA NA KUMTENDEA HAKI MTOTO WA MWENZIO KADRI UTAKAVYOWEZA KWANI NA WAO PIA NI BINADAM KAMA WEWE NOTHING MORE AND CERTAINLY NOT LESS,NIMEMALIZA.COM!!!

No comments: