Genuine Nordic Vodka
Friday, October 3, 2014
WHY CARE SO MUCH AND FOR WHAT!!!!!
JAMANI SIKUDHANI NITAKUJA ANDIKA KUHUSU KITU KAMA HICHI BUT IMEKUWA TOO MUCH SO HERE WE GO,,
TOKEA HUYU MTOTO APEWE HII GARI ITS LIKE KAAMSHA MJI I MEAN REALLY?? KWANI HII NI MARA YA KWANZA KUONA MTU ANAPEWA MAGARI KWA DUNIA YA LEO MAANA WATU WANAPEWA NDEGE SEMBUSE GARI,,
MWENYEWE KAPEWA ZAWADI ZAKE NA KAFURAHI BASI BE HAPPY FOR HER,,
BACK TO MY POINT HIVI TUNAKUWAJE KAMA A NATION TUNAFOCUS NA VITU AMBAVYO HATA HAVITUHUSU WALA KUTUONGEZEA CHOCHOTE MAISHANI MWENU MAANA GARI KAPEWA WEMA NA ZITABAKI KUWA ZA WEMA PERIOD,,
KUNA WATOTO HAWANA ELIMU HEBU PIGENI MAKELELE TUCHANGE TUJENGE SHULE VIJIJINI NAKUWAPA WATOTO ELIMU,,
KUNA WAMAMA WANAZAA SAKAFUNI HEBU FOCUS ON THAT AND MAKE A DIFFERENCE,,
KUNA WATOTO NA WAMAMA WALOATHIRIKA NA MAGONJWA KAMA HIV,CANCER NA KUNA WATU WANALALA NJAAAAAAAA WHY FOCUS OOH GARI KAMPA NANI OOH MENEJA ANA HELA GANI WHO CAREEEEEEEEEEES BUT APPARENTLY WAPO WANAOCARE TENA TO THAT EXTEND WANAENDA MPAKA KUFANYA UCHUNGUZI REALLYYYYYYYYY,,IS THIS WHAT WE HAVE BECOME AS A NATION??
IS THIS WHAT DEFINES US AS A NATION MBONA TUTAONEKANA KAMA WASHAMBA WAKATI HATUISHANGAI TANZANITE TULIOJAALIWA NA MUNGU DUNIANI NZIMA HAKUNA EXCEPT IN TANZANIA BUT A BMW MUNGU WANGU,,
NATUMIWA MACOMENT NAULIZWA JAMANI NURU GARI BLA BLA BLA MAZAKALMATI WHO CARES KWANI SISI INATUHUSU NINI,,
TUJIFUNZE PIA KUFURAHIA PALE MWEZENU KAPATA CHAKE NA WEWE TAFUTA CHAKO SIMPLE AS THAT,,
THE GIRL KAPEWA ZAWADI AND THATS HER BUSINESS AND NOT MINE OR YOURS,,
TUBADLIKENI TULEE WATOTO WAKUE WAWE THE NEXT PRESIDENT OR MSANII
TUBADILIKENI TUFOCUS NA WHAT REALLY MATTERS IN OUR SOCIETY MAANA TUNA BIGGER ISSUES THAN THIS KAMA UMASKINI TENA UMASKINI WA FIKRA,,
HATA SIJUI KWANINI KATOA KADI NA KUWAJIBU ITS JUST GONNA MAKE THEM WAKATAFUTE ZAIDI UTAFIKIRI WAMEAJIRIWA NA FBI,,
NAONGEA KWA HUZUNI MAANA SIELEWI KWANINI TUNAJALI VITU VISIVYOTUHUSU WAKATI UNA MAISHA YAKO WEWE KAMA WEWE,,
AM ALWAYS ABOUT POSITIVITY NA INSPIRING AND ENCOURAGING MY FELLOW WOMEN FIRST AND FOR MOST AND SOMETIMES VITU VYENGINE TUNAPASWA KUVISOMA NA KUVIACHA HAPOHAPO KAMA VILIVYO,,
KUMBUKENI SIKU YA MWISHO IKIFIKA HIZI MALI ZOTE TUTAACHA DUNIANI SO KUNA VITU HATUPASWI HATA KUVIPA DAKIKA MBILI,,
KILA SIKU JIULIZE JE SIKU YANGU YA MWISHO KATIKA MAZISHI YANGU NINGEPENDA WATU WANIONGELEE VIPI,,
NI LEGACY GANI NIMEACHA DUNIANI KWA MWANANGU,MAMA,BABA,RAFIKI,NDUGU,MUME,MKE
AND MOST IMPORTANTLY JAMII,,
KUNA VITU OUR CURIOUSITY TAKES THE BEST AND SHOWS THE WORST OF US AS A NATION,,NIMEMALIZA.COM!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
BAELEZEE NURU. WIVU TU UNAWASUMBUA MXIIIIU. WEMA ATABAKI KUWA WEMA TU NA YEYE NA DIAMOND THEY HAVE BORN TO LOVE EACH OTHER WATU WATABAKI KUCHONGA TUUUUUUUUUU WEMA HUYOOOOO NA DIAMOND WAKE. MXIIIIIIIIIIU KAKOJOENI MKALALE HUKO. HOVYOOOOOO.
Nimeipenda hii dada nuru,watanzania ni watu wa ajabu sana...na mi nahis ni hao hao wasanii wenzake na watu wa karibu wasiotaka apate..kweli ifike tym kila mtu afanye yake ya kumletea maendeleo na sio kujadili mambo yasiyokua na faida..hiyo gari wameiongelea kaaah had wanatuchanganya nasisi tunaosoma habari kila siku kubadilisha jina la mtu alietoa gari as if walikuwepo,en ths shows hakuna mwenye uhakika na anachoongea...ni chuki tu kwa Qeeen sepetu
Nuru ni ushamba tu na umasikini wa fikra. Watanzania watu wa ajabu sana, Saida China na mumewe walimpa binti yao zawadi kibao ikawa maneno mji mzima. Sasa zawadi ya Wema nayo imekuwa gumzo mji mzima.
Martin katoa zawadi kama watu wengine wanavyotoa zawadi, angalia watu wanavyotoa zawadi kwenye kitchen party, watu wanatoa mpaka zawadi za gari je ni matajiri hawa? Mbona vitu vya kawaida tu, ila kwa kuwa kapewa Wema imekuwa ishu.
wamuache jaman WEMA wetu tunavyompenda inawauma wangap wanapewa akipewa yeye kahongwa waswahili na ushamba umewajaa
Post a Comment