No huyo anafanya payback kwa 50cents, juzi kati ule wakati wa coldwster challenge watu walipokuwa wanajimwagia maji baridi. So 50cents akamwambia afanye challenge ya kusoma manake jamaa hata jina lake kuandika linamtoa jasho, so jamaa akaanza kumwonyesha 50cents cheques alizopewa kabla ya pigano lake, akimwambia he has more green 'money' kuliko 50 cents, so naona hii picha ameituma makusudi mbaya wake a isome kimpya kimpya, lol
mhhh ngozi nyeusi ni shideeer celeb wakizungu huwaoni hata siku moja wakipiga mapicha na magold au hela lakini black celeb wanajionesha mara gold mara bling magari hela naona ni ushamba wa hali ya juu lakini pia Nuru ni uzoefu wengi ya hawa celeb wamepitia maisha magumu waliku masikini sasa wakipata kidogo ndio hivyoo
5 comments:
hahahhahaha tena mkubwa mno my dia
yaani huyu kaka hata cjui tumsaidieje,,everybody knows una hela tena nyingi sana ila whyyyyyyy!!sad
huyu kaka ni mluga luga ile mbayaaaa....

Post a Comment