Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo. Mchungaji akasoma yaliyokuwemo kwenye Diary.. ilikua ikisomeka hivi;
"I stare at him napenda awe wangu, but he doesn't notice me like that, and i know it.....
Alisoma mchungaji kisha akaendelea...
"Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!"
Niliishiwa nguvu... katikati ya kundi la watu nilipiga magoti nikilengwalengwa na machozi... maneno yale yalinichoma hasa ukizingatia kuwa nilimpenda lakini niliogopa kumwambia.. kumbe na yeye alinipenda pia lakini aliogopa kuniambia... I wish ningemwambia ukweli... ila nilishachelewa... Sipo nae tena... ameshatangulia mbele za haki.!
MORAL OF THE STORY.!
Vunja ukimya. Be free when u love someone kuwa muwazi kwake.. Usimfiche.. Usiogope kumwambia. Share na washkaji km story hii imekugusa.!!