Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, October 15, 2014

REST IN PEACE GLORY TUMAINI META!!!


KUNA WAKATI HUWA NAONA AIBU KUJIITA BINADAMU,,
KUNA WAKATI NAWASKITIKIA BINADAM WENZANGU,,
KUNA WAKATI JAMII YA TANZANIA BADO INA SAFARI NDEFU KUJIFUNZA MAANA YA UBAKAJI MAANA MAJUZI TUU ILE KESI YA MBASHA NILIONA KWA MACHO YANGU WANAWAKE WAKIONGEA MANENO YA KIJINGA KUTOKUJUA KUWA INAWEZA KUKUTOKEA WEWE AT ANY TIME NA NDIO MAANA NAWASKITIKIA BINAADAM MAANA ADUI YAKO MKUBWA DUNIANI NI BINADAM MWENZAKO,,

SASA MTOTO WA MIAKA MDOGO HIVI KUMFANYIA UNYAMA HUU NI NINI LAKINI?
KUNA WAKATI NASEMA TUMEKUWA SELFISH KIASI KWAMBA KAMA HAKITOKEI MLANGON MWAKO BASI HAUJALI NOT KNOWING ULIMWENGU UNAZUNGUKA SO MUOMBE MUNGU AKUEPUSHE,,

NAWAOMBEA WAZAZI WA GLORY MAANA ITS NOT THE EASIEST THING FOR A PARENT TO GO THROUGH OR ANY HUMANBEING FOR THAT MATTER,,
TUNAFOCUS NA MAMBO YA KIJINGA AT TIMES FORGETTING WE NEED SUPPORTGROUPS NA MTANDAO WA KULINDA HAKI ZA WANAWAKE NA WATOTO NCHINI TANZANIA KUNA MENGI SANA YANAWATOKEA KILA SIKU,,

WATOTO WANABAKWA KILA SIKU TENA MITAANI NA MAJUMBANI SOMETIMES EVEN BY FAMILY MEMBERS ILA KWASABABU TUNAJALI SANA KUTOKUAIBIKA BASI MNAKAA KIMYA HUKU MKIUWA WATOTO DAY BY DAY,,
MTOTO ANAYEBAKWA (MOLESTED) EVERYDAY OR OFTEN HER SOUL KEEPS ON DYING MINUTE BY MINUTE SO KWA MAANA HUU UKIMYA NI MUHIMU KULIKO MAISHA YA MTOTO,JIULIZE??

MUNGU KUNA WAKATI TUNAKUCHOSHA SANA,
NAJUA UKO DISSAPOINTED NA VITENDO VYA ULIYEMUUMBA ILA WAZAZI WANAANZAJE MSAMEHE ALOFANYA HIKI KITENDO CHA UKATILI
WANATOA WAPI NGUVU ZA KUENDELEA KUISHI WAKATI WANAJUA HAWA WATU WANAWEZA MFANYIA HIVI MTOTO MWENGINE KESHO AU KESHOKUTWA?

THERE COMES A TIME HUWA NAJIULIZA WHAT IS WRONG WITH USELESS HUMANS LIKE THESE ONES WHO SPREAD NOTHING BUT EVILNESS ON EARTH,,
NA WAZAZI WA HAWA WALOTENDA HIVI WATAWEKA WAPI SURA ZAO SIKU WAKIJUA,,
MUNGU AKULAZE PEMA NA PUMZIKA KWA AMANI BECAUSE AS HUMANS WE HAVE FAILED YOU BIG TIME ANGEL GLORY,,RIP!!


3 comments:

Anonymous said...

Mtoto mdogo sana kupata mateso makubwa namna hii gosh what a World!! Nimeumia sana mpaka mwili umenisisimka maskin binadamu tunaenda wapi sisi tumekuwa na roho mbaya kiasi hiki. Ee MUNGU BABA tusamehe waja wako naomba umpumzishe Malaika wako Glory!

kitty said...

Mungu wangu jaman ivi tutajibu nini siku ya mwisho? roho ya ubinadamu imeisha kabisaa kweli jaman kabisaaa imeisha...najiuliza sipati jibu walikuwa wanataka nini kwa malaika wa watu jaman walikuwa wanapata raha gani wakati wanamfanyia ivyo..hawana dada hao vijana au hata wadogo zao wa kike je wadogo zao wangekuwa wanafanyiwa ivyo wangejisikiaje? kweli binadamu tumekuwa kama wanyama kila baada ya siku roho ya ubinadamu inaondoka kwetu...eeh Mungu najua ni vigumu wazazi wa Glory kukubaliana na hili ila naomba uwatie nguvu ...RIP GLORY

Anonymous said...

Uwii jamani Nuru roho imeniuma uwi mwili umesisimuka eeeh Mungu upo wapi? mwee RIP Glory such a angel ! mwe najiuliza sidhani hao vijana wanaubinadamu au they feel anything? jesus?