Nuru mamii mambo,Happy Birthday to Heri,naomba uniulizie Heri alisoma Kaole Secondary Bagamoyo?Amefanana sana na mdogo wangu wa Shule alikuwa anaitwa Heri pia yaani kama huyo kama ni yeye amekuwaje mkubwa,Maryam.
Maskini mdogo wangu weeee umekuwaje mkubwa,unakumbuka enzi hizo na kina issa tunakula pamoja chakula maharage ya kutosha na ugali tunakaa meza moja kama watu kumi hivi,ugali kwenye sinia lol,kaole's life....
marryam unanikumbusha mbali sana maaana ile clew ilikuwa hatari ikifika muda wa msosi tu ni muungano wa hali ya juaa hahahaa!! am so happy my dada yap nimekuwa its good na wewe Ingunna the light blog tumeonana huku thanks u nuru kwa kutukutanisha tena humu

yap@heri ikifika ijumaa sasa tukitoka msikitini na samaki wengine nyanya kachumbari yake na ubwabwa rahaje na mob ile kweli maisha ya shule raha...thank the light nimefurahi sana sana kushare experience ya shule na heri
7 comments:

marryam ndo mimi yule yule heri wa kaole secondary wala sio mwingine
marryam ndo mimi heri yule yule wa kaole

Post a Comment