Genuine Nordic Vodka
Saturday, September 27, 2014
HAPPY BIRTHDAY WEMA AND HERE ARE SOME WORDS FROM HER BOO DIAMOND PLATINUMZ!!!
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama!!
THATS ALL FOLKS!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Yeyoooooo
Long life baby yake
Kweli hawa watu wanajua kucheza na akili za watu, wambongo wengi kweli wawekee picha sory wanatunga wenyewe Kah kwa walikua wakiongea hatari sana, nlidhani wana uhakika
hivi tokea lini ukaamini vitu vinavyoandikwa ni vya uhakika,,tatizo mmezoea kukubali uwongo kuliko ukweli na ndio maana watawachezea akili mpaka,,mtu hata hajui your last name anakutungia story na nyie mnasoma tuu na kuchukua ooh kweli,,maybe this shud teach all of you Dont believe everything u read hata wewe kesho mbaya wako akitaka kukuharibia kesho atakutungia chochocte,,
Post a Comment