siwahi kucomment ktk hii blog lakini hii picha ya hii gari la bia lilipata ajali duh! kweli kipele kimepata mkunaji hapo wanafuhia ni sherehe kwao hawali hatakama kuna mtu amekufa au ameumia, kwao ni sherehe wanaona neema imewaangukia badala ya kutoa msaada kusaidia mwenye kupata ajali na kuweka masanduku yake ya bia sawa wao wanaanza kunywa hapo hapo kweli Africa utu ni bado sana sijuii ni umasiki wa mali na mawazo
Ahsante kwa kutujza mdau n yaa inasikitisha hata mm niliwahi pata ajali watu wakakimbia kuja walivyoona tuko uhai wakapiga kelele hajafa mtu so ikabidi tuondoke na gari bovu mapema kabla hatujaibiwa na ilikjwa mchana kweupe its just sad,,
2 comments:

Post a Comment