WaMarecani sifa number moja ya kugombea urais ni kuwa mzaliwa wa Marecan.
Huwezi kuwa na haki sehemu mbili au tatu ya kuzaliwa. Is just FACT that you must have one place where you were born. This is a gift from God, no human being should dispute this.
Kwa hoja ya kuzaliwa; naomba nichakatue tofauti ya uraia (citizenship) na utaifa (nationality)
Uraia (citizenship) hii ni status ambayo mtu anaipata kwa njia tofauti.
Moja, kupitia sehemu uliyo zaliwa; ikimaanisha wewe ni raia wa hapo automatically. Status hii ni exceptional au ni gift from Sir God and no human has the power to take this right away.
Pili, kupitia makaratasi au kujiandikisha. Njia hi mara nyingi huwa privilege kwani unaweza kupoteza sifa na kunyang'anywa uraia huu; however, huwezi nyang'anywa sehemu ya kuzaliwa.
Utaifa (nationality), utaifa unazingatia origin, ethnicity, lenient, or kipande cha ardhi ambacho binadamu alizaliwa. Huwezi kupewa utaifa; mtu anaye chukua uraia wa marecan na alizaliwa Tanzania ataendelea kuwa mtaifa wa Tanzania hadi kufa; isipo kuwa atakua sio raia (citizen) wa Tanzania kulingana na sheria za nchi. That's why kwenye passport ya marecan inasema sehemu ya kuzaliwa "Tanzania". This means, diaspora will die Tanzanians no matter what
Mind you, huwezi kumvua mtu UTAIFA wala kubadirisha sehemu aliyo zaliwa, lakini unaweza kumvua uraia (makaratasi).
This being said; utaifa ni kama uzalendo na mtu hawezi kupoteza uzalendo kwa nchi aliyo zaliwa. Hoja ya uhamiaji kuwa kuwapa uraia pacha wazaliwa wata poteza uzalendo ni dhaifu na haina mashiko.
We, diaspora, were, are and will always be Tanzanians by default (birth right); either you like it or not. Habari ndio hiyo.
Ni ujuha kufikilia au kufanya propaganda kuwa mtu atakuwa sio mzalendo kwenye nchi aliyo zaliwa. Huwezi poteza mapenzi kwa mama. Yeyote anaye poteza mapenzi kwa mama yake inabidi apimwe akili
Hoja ya uzalendo ya maafisa wa wizara ya mambo ya ndani ni nyepesi na haina mantiki kabisa
1 comment:
Word!!!
Post a Comment