Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, August 17, 2014

THANKS TO EVELYN PART TWO,HAHAHHAHAAHAH!!!


LIKES Za Social Media VS MAENDELEO
Jane: dear, Cheki Facebook na insta watu wanavyonifollow, toka niweke picha 3 za mabigo, Facebook watu 10 wameniomba urafiki na insta followers wa kumwaga, chezeyaaa
Agnes: duh yani mi toka mwaka juzi followers wachache mi ndo nawafollow wengi afu Facebook wale wale
Jane: dear tatizo picha unarudia nguo, afu hupigi Pozi kwenye kumbi za maana, nenda hata fish market na soda moja piga picha uweke ili utie heshima mjini dear au hata ukipita kempiski update location fasta afu andika status tu bila kuweka picha,like "chilling with friends"
Agnes: eh kumbe.
Jane: nipo dukani nambembeleza muuzaji anipunguzie bei sketi flani ambayo nimeona hata Beyoncé kavaa na Kim,shosti ni laki, hope atauzia elfu 45, nivae leo maana sijaweka picha Siku 2 sasa, watu wananisubiria kwa hamu.
Agnes; dah unafanya shopping raha, mi nipo site na mafundi wanavuta umeme kwenye kibanda changu, nimejichokea kweli natamani wamalize nihamie niachane na kupangisha nyumba. Nasubiria status yako dear nione sketi yako, wataku"like"kije sasaaa.
Jane: hee unajenga 


2 comments:

Anonymous said...

ila ndo kizazi chetu saiv...vijana wengi siku hizi wanawaza s4,parties,kuonekana wanajua kuspend,mafashionista,wana maisha ya kim hata hawawazi maisha yao ya badae..halafu sadly hao ndo wazazi wa badae hata kujiandaa hawafikiri

mischa said...

These things ni za ukweli kabisa wadada tupp more focused kujionyesha rather than kufanya maendeleo..
i used to be this way no fashion ilinipita but now no more every salary has a constructive use