Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, August 19, 2014

MY MAMA SAID JIPENDE,JITAMBUE,JITHAMINI BUT MOST IMPORTANTLY JIKUBALI!!!!





 ENJOYING SOME CHAPATI WITH MTORI EARLY MORNING.COM,,,




MWAKA JANA MSICHANA WANGU ALOKUWA AKIFANYA KAZI THE LIGHT ALIFARIKI WIKI CHACHE TUU BAADA YA KUJIFUNGUA THIS ANGEL KIUKWELI NDIO MSICHANA NILIANZA NAE SINCE DAY ONE TUMEFUNGUA,,
WAKATI NIMERUDI NLIMAKE A PROMISE KWENDA KUMUONA MTOTO NA KUJUA KAMA ANA MALEZI MAZURI NA NLIFURAHI KUONA BABA MTOTO ANAMLEA MWANAE VIZURI TENA SANA,,
NASKITIKA KUWA MAMA MTU HATUNAE TENA MAANA NI MENGI NINGEMFANYIA KUMUWEZESHA KIMAISHA BUT I GUESS GOD HAD OTHER PLANS FOR HER,,

UMEPITA MDA SIJAANDIKA KITU BUT KIFO CHA X KINAONYESHA KUWA KUNA WATU DUNIANI HAWAKUBAHATIKA KUWA NA OPTIONS MAISHANI MWAO LAKINI BADO HAWAKUFANYA TAMAA ITAWALE MAISHA YAO,,
I SEE ALOT OF GIRLS AMBAO WANAPOTENTIAL,WENGINE WAMESOMA,WENGINE WAMETOKA FAMILIA NA KUPATA MALEZI BORA NA ELIMU YEST STILL TAMAA,USHAMBA NA ULIMBUKENI NA MAGROUP KUWAHARIBU
NILIONGELEA NENO PERSONAL RESPONSIBILITY NIKIMAANISHA USMLAUMU FLANI KWAVILE WEWE ULIAMUA KUCHEZEA MAISHA YAKO AU KUMAKE POOR CHOICES INLIFE WE ALL HAVE A PERSONAL RESPONSIBILITY NA USIDHANI ELIMU PEKE YAKE TUU UKASINGIZIA OH MIMI SIJASOMA NIMEKUTANA NA WATU KIBAO HAWAJASOMA WENGINE HAWAJUI HATA KUANDIKA BUT NI SUCCESSFUL KWA BIDII NA JUHUDI ZAO
ELIMU IS A TOOL TENA TOOL NZURI AMABAYO ITAKUSAIDIA KIMAISHA BUT DONT THINK FOR ONE SECOND KUWA HUO TUU NDIO UTAJIRI TOSHA,,
ELIMU IS A FOUNDATION TENA A GOOD ONE IF USED WELL,,

KUNA SHULE NYENGINE INAYOITWA MAISHA ITSELF AND SOME PEOPLE ARE BETTER AT THAT NA HUWA WANASUCCED WITH GREAT RESULTS,,
WENGINE ANAKWAMBIA OHH HANA EXPOSURE JAMANI KUNA WATU ULAYA NI MAMBURULA NA EXPOSURE WANAYO SASA HAWA WANAEXCUSE GANI??

BOTTOM LINE NA POINT AM TRYING TO MAKE IS PERSONAL RESPONSIBILITY HAS EVERYTHING TO DO WITH YOU AS AN INDIVIDUAL SO MAKE IT COUNT SIO KILA SIKU KUTUKANA WATU NA KULAUMU WATU WALIOFANIKIWA SIMPLY BECAUSE YOU ARE LAZY,NOT AMBITION,HAVE NO DREAMS OR ASPIRATION INLIFE AU SIMPLY JUST LAZY AU UNASUBIRI WATU WAFANYE UIGE TUU SASA UTAIGA MPAKA LINI???
KUMBUKA WE ONLY GET ONE CHANCE AT THIS THING CALLED LIFE.COM!!

5 comments:

Nikita said...

Nuru nimekupendaje leo, I couldn't write any better! Yaani wadada wakibongo wengi so called wamesoma, huwa wanadharau utadhani ndo ticket ya mbinguni! Mfyuuuuuu. Wasomi wangapi wamebaki kuwa magolikipa kwa ajili ya being lazy wanategemea kuhongwa! Tumewaona wa la saba are doing big thing to the society. Mfano J. K. Mungu bless this lady, na nyie wasomi mtangoja sana kwa huyu dada. Elimu dunia na Exposure is the real deal! Shauriyo

Elsa said...

Thats so deep.. thanx

Anonymous said...

Well said Nuru....I LOVE U

Anonymous said...

Well said Nuru....bidiii haimtupi mtu unaeza kua na education ila lazy na ukawa na la 7 ila hardworking yako ikakufikisha mbali

Anonymous said...

i love the message.... nuru nakupenda sana coz huwa unaandika fact.... keep it mamy