FROM FIKRA ZA MLALA HOI ON FACEBOOK!!!
Kwa hili naona Diamond anakosea sana! Naamini anamtumia wema kuongeza umaarufu na kuongeza kipato chake, kwani mwanamke unayemuheshimu na kumpenda huwezi kumfanyia hivi, huwezi kufanya kama unamnadi halafu ndio mke mtarajiwa. Dada yetu wema na wapambe wako hapa mnajidhalilisha tuu hakuna kingine!
4 comments:
Sion hapo kadhalilishwa nn!! Mbona watu wanawashwa hvo na mambo ya wema na mpenziwe.. anamsapoti hubby wake,thats it..jaman jelous is a disease, get well soooon Fikra za mlalahoi!!1
Sion hapo kadhalilishwa nn!! Mbona watu wanawashwa hvo na mambo ya wema na mpenziwe.. anamsapoti hubby wake,thats it..jaman jelous is a disease, get well soooon Fikra za mlalahoi!!1
That's right!!! Na huyu Wema naye ni mjinga sijui kwanini haelewi au ndo love is blind? Wanaachana anajua kabisa kuwa alikuwa na mwanamke mwingine...wanamtukana lakini bado tu? Mbona anajiaibisha sana na wala hafikirii hilo...
WATANZANIA NI WANAFIKI TU HAMNA LOLOTE. KWANI WEMA MWAKA JANA KWENYE FIESTA ALIPANDA KAMA HIVYO HAKUWA NA DIAMOND. EBU WAPUMZISHENI WENZENU. HATA KANYE WEST NA ILE VIDEO ALIFANYA NA KIM WATU WALISEMA SANA KADHALILISHWA MBONA KAMUOA???? EBU FANYENI YENU UKO MKUZE UCHUMI NCHI YETU YENYEWE MASIKINIII. KUTWA KUSHINDA KWENYE MITANDAO KUTOA OPINION U BETA GET BACK TO WORK AAAGGHHHH
Post a Comment