WIZI MPYA COCO BEACH
Wizi huu hufanywa na vibinti vinavyovutia sana, na wanaume tu ndio huibiwa, hivyo akina mama tafadhali muwambie waume zenu na maboifrend wajihadhari. Wizi huu hutokea kule baharini maeneo ya Koko, ukipaki tu vibinti viwili vizuri huja na kuanza kusafisha kioo cha gari lako, wakati wakifanya hivyo hujiachia viblauzi na visidilia vyao unajikuta huwezi kuacha kukodolea macho. Vikimaliza usafi husema havihitaji malipo ila vinaomba lifti kwenda Msasani. Ukikubali vinapanda kiti cha nyuma na kuanza kukushika shika shingo na masikio, kamoja kanahama kiti na kuja kiti cha mbele na kuanza kukula denda wakati kenzie kanakuibia mkwanja wako. Bosi wetu kaibiwa juzi, jana tena kaibiwa na leo keshatupigia simu kuwa kaibiwa, na kesho ni wazi ataibiwa. Tunaomba mjihadhari sana
Aksante
4 comments:
NA BADO MTAIBIWA SANAAAA TUUUUUU MUACHENE NA TAMAAAAAA, TENA HAO WATOTO MKIKUTANA NA WABABA WENGINE IBENI MPAKA BOXER MUMUACHE MTUPUUUU.... MUWAKOMESHHEEEEE SHENZIIIIII
HASWAA NDIO WAJIFUNZE KUTULIZA PUMBU NDANI YA SURUALI. WAIBIENI KWELI MPAKA BOXER
Upuuuzi mtupu wache waibiweee umalaya tuu unasumbua waume. Mwanaume anayejiheshimu hawezo kuingia kwenye zituation kama hii...endeleeni tu kuibiwaa
huyo boss kazid .na akome kihereher tamaa gan mtu hajifunzi kla siku hapo hapo. na ndo muwakomeshe wamezidi umalaya.umalaya gani huo
Post a Comment