Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, August 31, 2014

DIAMOND PLATINUMZ CONCERT IN STUTTGART GERMANY TURNS INTO TOTAL CHAOS!!!











THE PROMOTER,,



SINCE DIAMOND ALICHELEWA KUFIKA UKUMBUNI WATU WALIKASIRIKA SANA NA KUANZA KUFANYA FUJO KUHARIBU VENUE IKABIDI POLISI WAITWE NA AMBULANCE NA KWAVILE WATU WALIKUWA WANA HASIRA IKABIDI DIAMOND ATOLEWE PALE NA POLICE ESCORT SO NILIVYOELELEWA NIKWAMBA HATA SHOO HAKUWEZA KUFANYA TENA,,
HII INASIKITISHA NINA MASWALI MENGI SANA JE PROMOTA NDIO ANA KAZI YA KUMLETA MSANII KWENYE VENUE INAKUWAJE WALIMCHELEWESHA KUJA UKUMBINI?
NA HIVI MNAMHARIBIA MSANII REPUTATION YAKE NA BRAND YAKE NA NYIE WENYEWE PIA,,JAMANI ITS TIME FOR CHANGES INTHIS INDUSTRY,,
NA SIKU NYENGINE DIAMOND USIKUBALI KABISAA KUCHELEWESHWA WEWE SIO MGENI BALI NDIO STAR WA SHOW AND PEOPLE CAME TO SEE YOU SO UNA POWER KUBWA SANA AU WEKA KWENYE MKATABA WAKO MIMI NAPANDA STAGE MDA HUU NA WAO WATANGAZE ILI WATU WAJUE,,,

MANENO YA DIAMOND:kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany... kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jins watu walivyoamua kujitolea kuja kutusupport vijana wao kwa wingi, halaf mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri... najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed... lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoter...hivyo nisingeweza kujiamulia kuja muda ninaoutaka mimi...

PETER SCHWABE;After the artist had arrived with great lateness he had to leave the venue under police protection.
Diamond concert in Stuttgart Sindelfingen ends in chaos with many injured. A major use of emergency services and police after unhappy visitors of the concert have devastated the hall of the event. There were many injured. The concert guests waited until 4:00 AM for hours of the artist drunken concert-goers threw bottles and vandalized the hall. From the organizers no one could reach up to that time.

THAT!S ALL FOLKS!!!
source;peter shwabe

No comments: