Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, August 30, 2014

BY MALISA GODLISTEN!!!



Okey. Hii habari nimeiandika mimi. Bila shaka aliyeiweka hapa ameitoa kwenye ukurasa wangu wa facebook. Betty alikua schoolmate wangu Majengo sekondari, baadae akaenda UDOM nami SAUT.

Nimeona baadhi ya maswali yaliyojitokeza na possibly aliyeiweka mada hapa ameshindwa kujibu though ukweli mada ipo wazi. Kuhusu alipookotwa Betty ni Mikocheni. Kuhusu utaratibu wa kuagwa ni kesho Muhimbili, kuhusu maziko yatafanyika Dodoma. Kuhusu waliokua wanamharass kwny social media ni pamoja na Diva wa Clouds fm (nimeattach post ya Diva inayoonesha as if kafurahia kifo cha Betty). 

Kuhusu umaarufu alikua mwanamitindo wa Swahili fashion together with Mustapha Hassanali na Jokate Mwegelo. Na ofcoz alishaanza kuwa maarufu kwny hayo mambo ya mitindo.

Anyway kama mnataka kujua umaarufu wake alikua mwanamitindo wa Swahili Fashion na partners wake wakiwa Mustapha Hassanali and Jokate Mwegelo. 

Waliouliza may be sio wafuatiliaji wa masuala ya fashion ndo maana hawamjui, but wengi wanaofuatilia issues za mitindo they know her.

Hatahivyo sijaandika makala hii kwa ajili ya umaarufu wake. Nimeandika coz nimeguswa sana na kifo chake. She was my schoolmate at Majengo, and last year she graduated UDOM, B.A International Relations bt akaamua kujikita kwny mambo ya modeling.

However sidhani kama ni sahihi kujua mtu ni nani ndo umtetee. Wote mliouliza huyu dada ana umaarufu gani, did u mean ktk kutetea haki inatakiwa kwanza umjue mtu? Km ndivyo mlivyomaanisha i think mmekosea. Either mnamjua Betty au hamumjui itz not an issue. The issue ni aliyofanyiwa. Je alistahili?

Tusiposema sisi tulio hai kwa kuwa tu hatumjui, nani atasema? Je mnataka Betty aibuke kutoka kwny mauti aje kutetea haki yake? Kumbukeni the dead cannot cry out for justice. It is a duty of the living to do so for them.!

So hata kama Betty angekua a mere citizen ktk nchi hii asiyejulikana na yeyote we could still plee for her justice. We could still shout "JUSTICE FOR BETTY"


9 comments:

Anonymous said...

May her soul rest in peace.
All these social or whatever networks we call em I personally think its the devils work at hand because it has made us to be hating on people we aren't related to, abusive stupid languages, low self esteem and all the rest horrible negativity. It has turned us human beings to be way too cruel and more dangerous animals. It's a shame.
And lastly kwakuwa habari ya huyu binti imeamuliwa kuandikwa kila mahali nadhani kwa heshima na taadhima ya wanafiki wote ambao mnajifanya kuumizwa naona na wengine mnamuomba radhi wakati damage imekwishafanyika, kwa jinsi nilivyoelewa hili jambo, nadhani mngetumia busara zaidi nyote mkaacha unafiki mkampa heshima huyu binti alokwishatangulia mkaandika kitu kinachoeleweka kuhusu yaliyotokea na sio kujionyesha mlivyo wajinga na wapumbavu kwa kila moja wenu kutafuta aina fulani ya sifa ,huyu akijionyesha alimfahamu hivi na vile sijui nini,could you please for heaven sake write something thats straight forward mnakwepakwepa mara huyu andike hivi yule andike vile. If you have decided to write about her write something that makes sense so that those who didn't know her to get to know her and if you decide to let people know what happened to her, then put it out clearly. Na kama uamuzi kuadika kuhusu huyu dada ili jamii ielimike na ielimishane against cyber bullying then put it out professionally. Sio hivi jamani mnavyofanya huyu anandika hiki yule anandika kile. Acheni unafiki andikeni kitu kinachoeleweka mnachotafuta kutoka kwenye hili tukio kieleweke na kwa heshima.oooh nilimjua hivi, nikamjua vile so what? haya huku mwingine ooh alibakwa, huku oooh tusamehe wakati madhara yalishatokea. Inasikitisha na kukera kuliko maelezo. NA SIO LAZIMA UONGEE AU KUANDIKA KAMA HUWEZI KUANDIKA KITU KILICHONYOKA UKWELI NA WATU WAKAELEWA NA WAKAJUA WAKAJIFUNZA NA KWA UWEZO WA MUNGU KUTOKANA NA KILICHOANDIKWA NA KUELEWEKA WAKAWEZA KUKIFANYIA KAZI NA MADHARA KAMA HAYA YAKAPUNGUA AU KUTOKOMEZWA KA BISA ILI YASIJIRUDIE TENA IN THE NEAR FUTURE KWA HII GENERATION YETU HASWA VIJANA. Tuacheni upumbavu kwenye vitu serious

NURU THE LIGHT said...



mdau nahisi bado kuna vitu hajavielewa kwenye culture yetu na unafki una play a big part,,
wewe leo ukiamua kutokua mnafiki na kuwa mkweli at all tyms trust me you will be figting a war but who said hautoshinda that will depend on you,,
Back to Betty alot of people watamuandika na mimi ni mmoja wao leo siku nzima nimempost yeye tu na sitaishia hapa bali ntaendelea kuwakumbusha watu na kusambaza awarness kuhusu swala la cyberbullying(unyanyasaji wa mitandaoni),about rape(kubakwa) hii ni serious issue and tukianza kuficha hatumtendei haki marehemu,,unyama alofanyiwa ni reality na keshoktwa hujui mungu atuepushe isije ikamtokea mwengine,,kama alivyoandika rafiki yake Godlisten UKWELI ALWAYS UTABAKI KUWA UKWELI SASA TUKIFICHA UKWELI TUTABADILIKA KWELI KAMA JAMII,,JIULIZE
WANAFKI WANAJIJUA WEWE WATIZAME TUU MPENZI HALAFU WAACHE ILA JUA NAFSI ZAO ZINAWASUTA,,NA THE DEVIL ULOMTAJA MAMII NI SISI BINAADAM WENYEWE,,IT IS TIME FOR CHANGE

Anonymous said...

Asante Nurru kwa kushiriki kupinga unyanyasaji huu wa mitandaoni. Nimeisoma hii story kwa Malisa imeniuma sana. R.I.P Betty

Anonymous said...

Tunaomba Muandike kitu kieleweke. What happened exactly?. Huyu Godlisten mwenyewe anatueleza robo robo kama ameamua kuandika andika kitu kieleweke. A lot is being mentioned here, cyber bullying, her being found mtaroni....connection yake ilikuwaje? Wote tuko hapa kupambana na unyanyasaji wa kila namna na kwa kila kaliba ya binaadamu maana ni manyanyaso mengine mno vijana watoto wadogo wazee wanapitia na matokeo yake ni kama hivi. Ila mwandishi andika kitu kieleweke kuna namna taarifa unakwepesha. Mdau wa mwanzo nakubaliana nae. R.I.P Betty

Anonymous said...

Oh yeah the devil is truly sisi wenyewe. If only we could be true to ourselves pia kama mtu unajijua huna ustaarabu wala utu jizuie kuingia kwenye social networks kwa lengo la kuumiza watu kwa matusi, kejeli na kila aina ya negativity ingekuwa ni jambo jema mno. Binadamu tumekuwa mapepo kabisa.Inasikitisha. Na ndugu Godlisten kama hujali tuandikie vizuri. Na unyama ushindweeeeeeeeeee

NURU THE LIGHT said...


nilipost ile makala ya kwanza aloandika Godlisten kwa urefu na hili ni jibu baada ya watu kuuliza betty ni nani which mimi sijaelewa utaulizaje ni nani wakati ushaambiwa jina lake na picha yake,,does it matter mtu kuwa nani ndio tujali,,

ILI MUELEWE STORI YOTE SOMENI MAKALA YA KWANZA AMBAYO NIMEPOST YA KWANZA JUZI KAELEZA FROM A TO Z,,,
SASA HIVI NIMEONA KUWA APPARENTLY KUNA WATU WANAANDIKA ALIJIUWA BUT ITS NOT TRUE SIO UKWELI NA KUSAMBAZA HABARI KAMA HIZO KWA NI KUVUNJA SHERIA ESPECIALLY UKIPOST PICHA NA KUSAMBAZA UWONGO KAMA HUO TUKIACHANA NA HILO TUSUBIRI MAJIBU MAANA KAFANYIWA POSTMOTOM NA TUNASUBIRI MAJIBU NA POLISI PIA WANAFANYA UCHUNGUZI,,#JUSTICFORBETTY

NURU THE LIGHT said...


BINADAMU KIUKWELI TUMEKUWA A BIG DISSAPOINTMENT KWA MUNGU TUNAABUDU HELA KULIKO HATA MUNGU NA TUNAFANYIANA UNYAMA AT TIMES USIOWEZA KUWA DESCRIBED ITS SAD,,

Disminder orig baby said...

SubhannahAllah Tanzania tunaenda wapi? why chuki kiasi hiki? tumeamua kuwa wakatili kiasi hiki?
IMANI IMEPOTEA TUMRUDIE MUUMBA JAMANI.

Angalia Jide naye alivyozushiwa uongo katika media. haya ndiyo ya kupingwa sasa ili yaishe.

HUYU AMESHAKUFA LAKINI TUTETEE HAKI YAKE ILI WALIOMFANYIA HAYA WAPEWE ADHABU NA WENGINE WANAOTAKA KUONEA WENGINE TUWAKOMESHE.

WHO THIS DIVA? SHE'S ALL OVER THE MEDIA!!! HIVI HATUONI HAYA? MWANAMKE KILA MWANAUME UNAYETOKA NAYE UNAJITANGAZA? YAKO WAPI MAADILI YETU YA KIAFRICA YA BINTI KUJITUNZA?

DINI ZOTE ZIMEZUNGUMZIA ZINNA.
AMAKWELI ULIMWENGU WA MWISHO, WA ZINAA KUWA KAWAIDA NA WATU KUJITANGAZA WAZI WAZI NA KUINYESHA WAZI WAZI.

Mtu asiyejua anaweza jiuliza hawana wazazi hawa? lakini wazazi wengine jamani wameshachoka!1 kuna watoto bora ULITOA MARADHI TUMBONI.

TUTETEEE HAKI ZA KILA MMOJA WETU, NA ZAIDI WANAWAKE TUNAFANYIWA USHENZI SANA HUMU KATIKA MITANDAO.

Anonymous said...

mara ya kwanza kabisa kusikia juu Betty ni post ya mbunge mmoja aliposema kua Police watafanyia uchunguz mwili wake na kutoa majibu baadae..sikua na elewa kitu ila mpaka sasa nimeanza kupata picha kua kuna watu wanahusika juu ya kifo chake..na sijajua kwanini ila kiufpi walichomtendea Mungu anajua na ataonyesha mkono wake juu yao..naamini kua waliomtendea unyama huo nao basi wataulipa siku moja..Mungu ailaze Roho ya Marehemu Pema Peopni maana kila nafsi itaonja mauti...
Tusibi tuone Police watasemaje na wakitrace last contact zake watapata pa kuanzia..