Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, July 26, 2014

ON OTHER NEWS!!!



THIS IS HOW IT STARTED,OMMY DIMPOZ SAID THIS,,,,"biashara ya video ishaingia ushindani kwahiyo kuna haja ya kuwekeza kwenye vifaa, mi nauhakika mtu anamavifaa kibao anaenda kushoot lushoto huko noma, wazungu wenye watauliza umeshoot wapi, tuna maeneo kibao zanzibar wapi wapi wapi ya kushutia, sio kwamba hatun amaeneo, maeneo tunayo lakini hatujawa na vile vitu.kwahiyo nado maana hata mtu unafikiria sijui nishutia zanzibar lakini unawaza kumchukua labda God Father kumleta huku Tanzania ndio mziki. 


Halafu mtu utakapoletea vifaa hivyo nauhakika hautaishia kwenye video tu, kuna matangazo, utakodi utafanyaje, kuliko wanatoka watu nchi za watu makampuni yanalipa dola laki tatu kushoot tangaza wakati watu tungekuwa na vifaa., watu lazima waelewa kitu kimoja, hakuna mtu anaependa kujitia gharama kama kuna uwezo wa kuepuka ghara, sio ufahari, mi nnavitu vingi vya kufanya sio kwamba nataka tu nikalipe dola elfu 30 kushoot video wakati ninauwezo wa kuokuoa hiyo hela labda kulipa dola elfu 15 au 10 wadau wanatuskia sie ndo wasanii wenyewe tunasema kuwa  mziki sasa hivi unalipa, mnaona sasa hivi vijana wenu wanapata shilingi mbili tatu hizo mbili tatu mtagawana nao vipi kuliko kwenda kuwapa watu wengine huko nje ya nchi? "

THEN DIRECTOR NISHR AKAJIBU,,





THEN ADAM JUMA WROTE THIS,,







THEN DIRECTOR NISHER AKAMJIBU NA ADAM JUMA WAKAJIBU BUT CLEARLY MAJIBU YAO UNAONA KABISA THEY WERE OFFENDED BY HIS COMMENT,,

AND THEN DIVA POSTED THIS ON HER INSTANGRAM ACCOUNT



KUNA WAATI KAMA MSANII JARIBU KUWA NA BUSARA NA WATU ULIOSHAFANYA KAZI NAO AND ESPECIALLY WALE WALIOKUSAIDIA ILI UONEKANE MSANII MZURI ESPECIALLY NA VIDEO ZILIZOKUTOWA KAMAVIDEO YA NAI NAI NA BAADAE,,

2 comments:

Anonymous said...

Nafikiri pia kaivunjia heshima Lushoto Mie naamini hata sehemu msituni usiojulikana Tanzania ku Shoot kunawezekana muhimu UBUNIFU basi! Muda mwengine binadamu tuwe makini na tunayotaka ku type hata Mie maneno yaliotumia ningekuwa Adam nisingeyapenda ila pia Adam ndio achukuewe comment Kama hizo kufanya kweli video Kuwa nzuri zaidi, DSM yenyewe ndogo sehemu za starehe mtu Unawapiga madongo then unakutana nao humo humo haifai.

NURU THE LIGHT said...


UNAJUA TZ TUNALOCATION NYINGI SANAAAAA NA NZURI SIO LAZMA TUSHOOT KWENYE CLUBS BASI TUU WATU HAWAFANYI RESEARCH BUT LOCATIONS ZIPO,,,AND A VIDEO IS ABOUT AN IDEA AMBAYO UTAWEZA KUIPROJECT VISUALLY ILI WATU WAONE,,NA SOMETIMES HII INDUSTRY INA SIRI ZAKE SO KILA MTU ATAFANYIWA KAZI ACCORDINGLY TO THE MONEY YOUV PAID,,HUWEZI UKALIPA LAKI 5 UKTAKA VIDEO YA MILLIONI 5,,,SIMPLE N CLEAR ILA NADHANI NJIA ALOTUMIA KUONGEA NDIO KDG KAKOSEA MAANA KAMA ADAM TAYARI KISHAFANYA MATANGAZO MENGI TUU,,ANYHOW LETS WATCH THIS MOVIE