NIMEONA AU KUGUNDUA WATU WENGI WANAKOSEA KWENYE NYUSI ZAO HOW TO MAKE THEM LOOK GOOD,,WENGI WENU MNATUMIA WANJA NA UNAKUTA WENGI WENU MNATUMIA WANJA MWEUSI,,FOR EXAMPLE KWA RANGI YANGU MIMI SIPASWI KUTUMIA WANJA MWEUSI IT WILL LOOK FUNNY AND TOO MUCH SO HUWA NATUMIA RANGI YA BROWN FOR MY EYEBROW
CHUKUA DAKIKA TATU UJIFUNZE KUTENGENEZA NYUSI ZAKO VIZURI AND LET ME TELL YOU A SECRET HATA KAMA HUPAKI MAKE UP AU UNAPAKA KUTINDA NYUSI NDIO KUNASHAPE USO WAKO VIZURI,,
CHUKUA HIZI DAKIKA TATU KUITIZAMA HII CLIP UJIFUNZE NA PRACTISE NYUMBANI OVER AND OVER AGAIN MPAKA UJIFUNZE THE TECHNIQUE OF ACHIEVING THE PERFECT EYEBROW,,GOOD LUCK WAPENDWA!!!
No comments:
Post a Comment