Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, July 5, 2014

FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE!!!



Ndoa SIO Tukio...Ni JUKUMU
Tukio halichukui hata lisaa limoja...na baada ya hapo ni Jukumu throughout
Kuanzia jukumu la Mme kuwa kichwa cha nyumba na kuhakikisha mke na watoto wako freshi bila excuse...
Mke kuwa Mhimili wa nyumba hata pale Kichwa cha Mme kinapopata Moto na kushindwa kuperform duties za u-kichwa,mhimili usimame imara mpaka kichwa kitulie...Sio mchezo
Wengi tuko tayari kwa TUKIO....a 1 hour Show...lakini linapokuja suala la After Tukio hapa ndo huwa hatuwazi
Tukio ni tamuuuu...lina kwaito..matarumbeta..nguo nzuri...ma-maids kuwaka....JUKUMU lina upweke...hata wale waliochanga laki 5 kwenye TUKIO hawako nawe kwenye JUKUMU pale mambo yanapogonga ugoko..kila ukimfuata utasikia,"Kaka nimebanwa sana,Niko taiti"
Hata mimi Tukio nalipenda ila JUKUMU linanikwamisha na ndo maana nipo
Leo Chungu cha ngapi tenaa??Asalam Alleykum

2 comments:

Anonymous said...

kaongea ukweli kabisa ndoa ni JUKUMU.

Anonymous said...

hahahhaha mi nakupenda sana yani unatufungua macho sis wadada tunaotaka kukimbilia kwenye ndoa.