Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, June 24, 2014

WORD!!!

UTAKUTA MTU KAKUKOSEA HALAFU BADO NJE AKIULIZWA ULIMFANYA X KITU GANI ANASEMA UWONGO.WATU WA AINA HII TUNAO WENGI SANA KWENYE JAMII NA SABABU YA WATU WA HIVI KUFANYA HIVI NI KUTAKA KUJISAFISHA NA KUONEKANA WEWE NDIO MWENYE MAKOSA WAKATI MOYONI MWAO NA NAFSI ZAO WANAJUA KABISA WAMEKUTENDEA MABAYA
HUWA NACHEKA SANA NKIKUTA MTU HUU MFANO NATOA KAKUIBIA BWANA WAKO HALAFU NJE ANATUNGA STORI NYENGINE KUJISTIFY KILE ALICHOFANYA ILI NJE WAONE KUWA WEWE NDO ULIKUWA NA MAKOSA,,
WATU WA HIVI HUWA RARELY SPEAKS THE TRUTH BALI UKWELI WALIOUTUNGA WAO BUT CHA UKWELI NI KWAMBA IN THE LONG RUN WANAJIDANGANYA WENYEWE TUU,,
SO KAMA THE QUOTE INAVYOSEMA HADITHIA MIMI NLICHOKUTENDA LAKINI USISAHAU KUHADITHIA NA WEWE ULICHONITENDEA MAANA TUNA BINADAM WANAOPENDA SANA KUACT AS VICTIMS WHEN THEY ARE NOT,,,NIMEMALIZA.COM!!

4 comments:

Julia said...

Bwana anaibiwa na wewe? Mbona hivo jamaan

NURU THE LIGHT said...



yaani nimekupendaje cause u just proved me right hahahah mwizi kamwe hakubali kuwa ni mwizi,,if it wasnt yours to begin with wewe ni mwizi tuu!!

Anonymous said...

bwana aibwa kwani ni mzigo jameni!!!napita tu

julia said...

ha ha haaaaaaa looh ok