Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, June 17, 2014

#VANESSA MDEE#VIDEO LAUNCH#COME OVER#ROUGE#WHITE AND GOLD#VEE MONEY!!!




ERICK WITH A FRIEND,,
 MAGGIE,ALEXA AND HAMISA,,,

 GADNER,WEMA SEPETU AND AUNTY,,,
ALLY REMTULLAH,EZDEN AND A FRIEND,,

 SHAA AM LOVING THE LOOK,,


 MDOGO WAKE VANESSA MIMI MARS,,
JUMA JUX AND A FRIEND,,
NAOMBA NSIONGEE KUHUSU KOFIA YA JUX NGOJA NJIKAZENSISEME KITU,,
 GADNER,LAMAR,MASTER J,,,

 MICHAEL KIMEI,,



THE LADY OF THEE NIGHT VANESSA MDEE A.K.A VEE MONEY!!!


2 comments:

Anonymous said...

Heheheeee nuru bana...sema tu mwayego...kama imekaa ka kibakuli ambiwe ajirekebishe, kama imekaa poa sema ili wengine wajifunze swagga..hahaaa! Ila kiukweli watu maarufu wa tz inabidi muanze kutumia stylists coz the majority dressing ipasavyo zero! Mvuto tunao wabongo ila kuvaa ni issue! Na kama mume amua kuingia kwenye hii entertainment industry mkumbuke it goes hand in hand na mavazi!!. Mtakuja chekesha kama kipindi flani ghana walikuwa vituko ila wamejifunza na wameona wanzao naijas wanavyolipuka kwenye events na wanapendeza sasa!. Watz tupunguze kupenda cheap shit...if we've decided to play the game then lets try being good if not the best players...inaboaaaaaaaaaaaaaaa at times

Anonymous said...

I like Vanessa! But she's trying so much to be American! Please accept who you are..create your unique style as an artist rather than being Americanized! Ni Hayo tu all in you're talented!!