NIKIWA NIKIPOST STATUS ZINAZOHUSU NDOA NAONA WADAU MNAVYOKUWA MKIKOMENT NI KWAMBA NI ISSUE IMEGAWANISHA WANAWAKE PANDE MBILI,WALE WANAOONA NDOA NI KITU MUHIM NA WALA AMBAO WANAONA ELIMU KWANZA NA NDOA ITAFUATA BAADAE NA PIA KUNA WALE AMBAO WANATAKA MWANAMKE ABADILISHE FIKRA YA KUTOKUBALI KUTESWA KWENYE NDOA MAANA NIMEGUNDUA KUWA KUNA WANAWAKE WANAONA KAMA KUOMBA TALAKA NI AIBU,,
HII ISSUE IKO VERY SENSITIVE NA NINGEPENDA NSIANDIKE MY VIEW ILA NAWAACHIA KILA MTU KWA UHURU WAKE ASEME MTAZAMO WAKE,,JANA NILIPATA COMMENT HIZI KUHUSU SWALA LA NDOA,,
tatizo lenu wanawake wakitanzania mnaona kuolewa big deal mwee ndio maana wanaume wanawazarau nakuwatesa kwani nani alisema hakuna heshima bila ya kuolewa jamii yetu inasamini ndoa kuliko elimu kichefchef nampenda bf wangu natamani cku 1 pia kuolewa lakini sio lazima mfano km hatakuja kunichumbia basi sio mwisho wa dunia wazazi waseme mpaka haolewi mtu kisa tu niwaridhishe wao au jamii wengi wanaolewa kwa hilo na nikosa mnaharibu maisha ya watoto kwanini mentality ya wabongo ipo tu kwenye ndoa ni 2014 halooo tuamke mnafanya watu wanadandia treni kwa nyuma ili na wao masikini wapate hio title denti wadogo na mjiwanaume yakutisha ni shiiida asilimia 90 wapo kwenye ndoa bora tu aitwa mke wananihi mume anacheat,anapigwa,ananyanyaswa,mateso tu wakienda kwa wazazi ndio kwanza wanashauriwa kurudi seth ameongea ukweli mtupu tunaakili finyu mtu kama hajaolewa mtamsakama wee utaolewa lini sijui utajifungua lini khaaaa na hio mentality yatalaka inawatisha wengi mtu bola akae kwenye mateso ale kipigo na afe na presha kuliko kuondoka atangangania mpk aletewa watoto wahawara analea kuna raha gani basi yani kwa kweli siku hizi sina hata mfano wakutoa kusema kwamba natamani niolewe niwe kama couple ile au ndoa ya kina wale maana kusema la ukweli all the relationships and marriages of nowadays sucks uongo mtupu ni movie tu watu wanaoneshe wao wako happy humo ndani nimastress si afazali kujikalia mwenyewe anaony uliosema kuolewa na mapenzi hebu tupe mfano hapo tujione ndoa gani yenye mapenzi mfyuuuuu hakuna ndoa ya mapenzi siku hizi mambo yote fasta fasta watu wanajizolea km sio pesa basi tu wazae hao watoto na hakuna ndoa ya milele usidanganyike utaacti mwisho wa siku utachoka.ingelikua mnauliza watoto wenu lini utasoma degree lini utajenga nk basi tungekua mbali kweli wenzetu wametuacha nyuma wanajari elimu hayo mengine yatafuata kwa wakati wake muafaka sio kuforce ndoa mtu hana aseti yoyote wala elimu ya maana eti olewa mfyuuu wacheni movie iendeleeeee
mtoa mada amenigusa sana kusema ukweli na keshokutwa ramadhani naombeni ushauri maji yamenifikia shingoni nimeolewa kaa miaka 3 iliopita janzo cha ndoa nilichumbiwa na mmm nilitaka kusoma nijenge cv lakini wazazi wangu wakanishauri niolewe hawakutaka kunielewa wala kukubaliana na mm posa ya kwanza ndio hio hio madai bahati haziji mara2 tulidate kwa mda mfupu sana kaa nusu mwaka tukapendana kusema la ukweli nimejilazimu kumpenda ili niweze kuishi nae ndoa yangu cjui km hata inastahili kuitwa ndoa sina raha kabisa yani mm ni mtu wamajonzi mume hana mda na mm hana mapenzi wala haongei na mm vizuri ananijibisha mbele za watu najichekesha ili tu yaishe ila ndani naumia sana nilijaribu kuongea nae lakini haijasaidia nasononeka mamangu hataki kusikia mashtaka asema nivumilie hakuna ndoa yenye raha kwani pia ananipiga alianza kunirushia vitu kwa hasira mwisho wake amenigeuza mpira najaribu kumuonesha mapenzi wala hana shuguli na mm hata nivae nini hanijali naona tatizo ni malezi wazazi wake baba anampiga mama na mimi kwetu mamangu hana say yani baba ni bosi humo ndani japokua mamangu ndio mtaftaji nona kama vile mie n mumuangu tumejifunza kwamba mwanamke hana hadhi wala haeshimiki na mume ndio mwenye sauti na kauli na atachofanya lazima tukubaliane nae mfano mamangu ameteseka sana na baba mpk ilifika kipindi tukambembeleza arudi kwa bibi lakni alikataa na dadangu nae ndoa yake yani ndio ni majanga matupu nimefikiri sana kwa nini sote tumeolewa na wanaume km babaetu na tunateseka km mamaetu naomba ushauri nifanyeje nataka talaka yani km uwezo wangu saivi ningesepa ila naogopa nitanzia wapi mamangu asema nitamtia aibu ataweka usi wake wapi harusi ilikua garama nivumilie watoto wakue mbona yeye amevumilia mpk leo but pipo i don wanna b like her mamngu hajiamini wala hajipendi yani baba amemfanya amekua mnyonge hadi anatia huruma ukimwambia habari za talaka anaruka yani cjui hata nianzie wapi nikizidi kuishi hapa sitakua na amani wala furaha maishani mwangu cant imagine nikae hapa for another yr na watoto wanakua exposed to abuse na wao watajifunza kua ndio maisha ya ndoa yapaswa kua hivi na nikiondoka watakosa mapenzi ya baba pia nitaenda wapi kwetu baba atanifukuza nirudi kwa mumewangu why in africa we suffer why god why mbona wenzetu hawapangiwi maisha yani sina say
Anonymous said...
I am sorry I cannot reply in swahili. It seems like you and your sister have married man that are like your father. I urge you to go look fir help. You are not living in a safe environment, it's not healthy for you nor your kids to see that, because ( God forbid) they will repeat the same cycle. There has to be a way out. You need to love yourself and your kids more. If you are a Christian, look for help at church, even if you're not, try to go to a church and see if they can help. Your peace of mind and that of your kids should be the utmost important thing. I cannot stress enough for you to go and find help, out of your family cycle, you need to speak up, voice your problems, there are a lot of women like you out there and are just too afraid to say anything. So please, get help!
So even if you not feeling the dude you'll just go ahead and get ladrões just for the sake of the title "marriage" since there's a thing called divorce!?!?! We anon unaongea nini...ndio nyie nyie huyu aloandika topic hii anawalenga sasa unaolewa nini ka kichwa kishawaza divorce? It means hukuolewa kwa mapenzi na kumjua fresh mwenzio bali tamaaAsaaaaaaaaaaante!.No wonder wenzetu ughaibuni unakuta mtu yupo zake single hababaiki wala kushobokea maswala ya ndoa maana wenzetu wanaelewa kuto lower standards eti kisa tu kuolewa it is high time na sisi mabinti wa Kiafrica tubadilike tusiwe na tabia za ilimradi mwisho wake mitalaka tu na stress za kipuuzi