Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, June 18, 2014

TAPING#THE LIGHT#BRAIDS#MAXI DRESS#RED#MBOWE!!!!

 NAME;NURU THE LIGHT
THE SPOT:THE LIGHT A.K.A KA-PLACE
DRESS;H&M,,
BRAIDS

KARIBIA MAXI DRESSES ZANGU NZURI NYINGI NIMENUNUA H&M SIMPLY BECAUSE HAKUNA DUKA WANA MAXI DRESSES NYINGI NA NZURI NA AFFORDABLE WAKATI WA SUMMER IN ULAYA.COM NA SWEDEN NDIO WANA THEE BEST COLLECTIONS WHEN IT COMES TO H&M KWASABABU HAPA NDIO MAKAO MAKUU YA DUKA LAO AND THE OWNER IS SWEDISH,,
 TUNAPIGA STORI KIDOGO BEFORE TAPING,,,


 I WAS TAPING A TV SHOW FOR CLOUDS TV AT THE LIGHT,,,
 WITH MY MSHAMBAAAAAA ORIGINAL GODFREY MBOWE,,,

 WITH MY COUSIN MRS MASHA,,


 MOMMY DEAREST AND CUZZ,,
 THE LIGHT,MY MASAI,MY RAMA,,,

 THEY ARE ALL BEATIFUL I DONT WHICH ONES TO PICK,,,
MY LOVE FOR TANZANIAN ART AND THATS ALL FOLKS!!!

4 comments:

kitty said...

Am in love with your dress sis nuru...you look stunning

Unknown said...

Jamani Nuru i love maxi dresses, sasa nitapataje hizo za H& M??

NURU THE LIGHT said...



either online au kama unajua watu tizama online uone wana models gani maana sio vyote vya online ndio viko dukani dukani wanaweka more things than online but still online is ur alternative na wapo watu wenye maduka tz unawapa oda na wao wanakuletea,,good luck

THANK YOU KITTY,,UMEPOTEA!!!

kitty said...

nipo dada angu mambo tu yanakuwa mengi mengi...kila siku asubuhi nikifika kazini lazima nipitie hapa kwanza kuona umetuwekea nini jaman...mi penda wewe sana dada