Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, June 16, 2014

SONGEA#KILITOUR#DIAMOND PLATINUMZ#WEMA SEPETU#AUNTY#SARESARE MAUWA!!!!

NYWELE SARE,JACKET SARE....

4 comments:

Anonymous said...

Yani ni kuwa labda wema hana mshauri au anafikiri akiwavosha sare hawa mashangingi ndio hawata saliti urafiki wao...kwa mtazamo wangu hii kitu ni classless of the highest order...wema utafikiri kakulia manzese bana wakati wa ustaarabuni tu. Duh

Anonymous said...

Umeonaa eeehh..yaani wema anajishusha mnoo na haya magenge yake. Mara nani mara nani yaani full uswazi

Anonymous said...

Yani it's a pity kwa binti kama wema kujiweka weka kifala fala....hatuseme abague ila demu ana nafasi fulani yenye kauzito kwenye jamii angejiweka katika ngazi fulani hivi. Sasa ni kutwa kuzurura na mashangingi na kuvaa sare maua ushambaaaaaaaaaaaa....hata twins siku hizi wamepunguza sare Maua! Kuna saa nahisi ni kama wapambe hawa wakukolezea kwa diamond kwahiyo masikini wema anaishia kujikombaaa kwao ili wawe nao wanaendeleza debe kwa huyu mvulana..."dez yeyee smellin som wer "...it's not only unclassy but very very fishy

Anonymous said...

Wema never learns... I think she's used of being stabbed in the back most times and doesn't like to be ''HAPPY'' its has been happening to her at most times with her so called ''besties'' who keep stabbing her in the back. i think she's a loner, and she needs to find a hobby to keep her busy, like piano classes, salsa or gym....