Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, May 21, 2014

TAKE TWO MINUTES OF YOUR LIFE AND READ,IT MIGHT CHANGE YOU OR CHANGE YOUR VIEW JAMANI HIV HAIAMBUKIZI BY HUGGING SOMEBODY AU KUMSHIKA MTU ALOATHIRIKA NA AIDS!!


NImetokwa na Machozi baada ya kusoma taarifa hiii.....Jamani Mtoto huyu ana miaka minne alikuwa amefungiwa ndani tangu akiwa na miezi mitatu na mama yake mdogo, mama yake mzazi alifariki Kwa kipindi chote hicho alikuwa anamfungia kwenye box anamtupia chakula humohumo Mara ya mwisho kumuogesha ilikuwa mwaka jana mwezi wa tisa...alikuwa anajinyea na kujikojolea hiyo rangi nyeusi ni taka hajawahi kukatwa kucha wala nywele..amepata ulemavu wa mikono na miguu Kwa sababu ya kukaa kwenye box. Inadaiwa mama wa Mtoto huyo alikufa Kwa HIV ndo maana huyo mama ake mdogo alikuwa anaogopa kuambukizwa..hajawahi kupewa chanjo yoyote tangu azaliwe
Msikose taarifa ya habari leo BY ZAINUL.A.MZIGE 


Sasa nimepata more info about the story,, ni kwamba baba mtoto alikuwa anacheat nje na huyu mama mzazi wa huyu mtoto sasa kwavile alikuwa anaiba nje alivyojua kuna mtoto na vile mama mtu alikufa na aids nahisi akaogopa kusema ukweli na vile mdogo wa mama mtu alikubali yeye akaona hana jukumu tena,,
mdogo mtu ana mume ambae wanaishi pamoja ambae alikuwa akiona mtoto anavyoishi kwenye box na kusema kwavile hakuwa wake akamuachia mkewe maamuzi,,
mdogo mtu ndio alikuwa akimlea mtoto mpaka tulipokuja jua kuhusu hii stori ya huyu malaika,, mkitizama closely kila mtu hatakikuchukua jukumu bali kila mtu anaepuka na ktoa excuse,,

KWELI BINADAMU TUMEKUWA DISSAPOINTMENT KWA MUNGU MPAKA KUKOSA HURUMA SI ANGEENDA HATA ULIZA HOSPITALI ILI AFAHAMISHWE UNAMFUNGIA MALAIKA KWNYE BOX REALLY,,NINA MAASWALI MINGI ILA MAJIBU SINA,,VERY SAD INDEED!!!

6 comments:

kitty said...

Binadamu tumekuwa na roho mbaya hata wanyama wanatushinda jmn..kwanza najiuliza siku zote hizo huyo ma mdg alikuwa na amani moyoni kutokana na anachofanya?

NURU THE LIGHT said...


yaani kitty nimeongea na kutukana matusi yote ninayoyajua juu ya huyu mama,,sasa kumbe hadi mumewe alikuwa nae ndani anajua na kusema ahh mm huyo sio mtoto wangu ndio maana sikuongea,,na baba mzazi wa huyu mtoto yuhai na yy anasema alikuwa hajui so that means for 4 years hajawahi mtembelea mwanae laasivyo angeona but then again si ana mke mpya na maisha mapya kwann amjali ndio tabia ya wanaume wengi sana Tanzania nimegundua na wanawake we play a big part kwann usimuulize mumeo mbona mtoto humjali,,au tunajisahau mpaka yatutokee wenyewe akipata mwengine

kitty said...

Loh huyo bamdogo c bure sababu mtoto sio wake ndo maana alikaa kimya?alishindwa nini kumwambia baba wa mtoto kuhusu mtt wake anavyotendewa jmn...kama ni sheria wotee wanahatia ma mdg na mumewe na baba kumsahau mtt jmn kama ni dawa za mke mpya basi kiboko....ila hapana hana roho ya ubinaadamu kwenye boksi miaka yote kila kitu humo humo

Lulu said...

Yaani Nuru roho imeniuma sana nimeona kama ni mtoto wangu ndio kafanyiwa hivyo. Mie nahisi hao ni wachawi sio bure. Ila Mungu ni mkubwa kawaumbua walijua wakimtesa hivyo atakufa sasa limewageukia hao lazima wakafie jela.

Anonymous said...

OOOH MY GOD THIS IS SOOOOOO SAD.JAMANIII HUYO MAMA MDOGO APIGWE MAWE MCHANA KWEUPEE

Disminder orig baby said...

Yaan huyu mama no mchawi tu.