BADALA UOMBE UPATE MUME AU BOYFRIEND ANAYEKUHESHIM,KUKUPENDA NA KUKUTHAMINI WEWE UNAOMBWA KUWEKWA PROFILE PICTURE AISEE KUNA STATEMENTS ZA KIJINGA AT TYMS MPAKA INASIKITISHA,,
UNAWEZA WEKWA NA BADO AKAWA NA WENGINE KUMI NJE SASA HAPO UMEFAIDIKA NA NINI,,
ISTOSHE SIKU HIZI KUNA WANAWAKE HAWANA ADABU WATAKUPIGIA MPAKA SIMU NA KUKUTUKANA AMBAPO WEWE NDIO MKE YEYE NI MISTRESS,,
KUWEKWA KWENYE PROFILE PICTURE NDIO KITENDO LEO UMEJIWEKEA AU CRITERIA KUWA UNAPENDWA?? COME ONNNN
AMKA MWANAMKE AU MWANAUME MAANA ALWAYS PRAY FOR A GOOD UNION
UKIWA NA MAHUSIANO MAZURI NA MWENZAKO HAYA MENGINE HUFUATA TENA NATURALLY AND NOT BY FORCE,,
PRAY THAT GOD GIVES YOU A MAN OR A WOMAN AMBAYE ATAKUPENDA,KUKUHESHIM NA KUKUTHAMINI,,NIMEMALIZA.COM
2 comments:
I would love to meet you ib person, upo tofauti sana nuru na mastaa wengine. Akili yako inafanya kazi katika waaaay advanced.com. Usichoke kutoa ushauri kwa wadada wenzetu maana dunia imebadilika sna. Cjui ni kutokujitambua au nini? Anyways god help us all and may god bless Nuru
AHSANTE NA WW PIA,,SHUKRAN
Post a Comment